Kwanza niwapongeze madiwani...Mkurugenzi na wengine wanaohusika kwa kazi kubwa mnayoifanya ya kuweka mtandao mkubwa wa lami katika Manispaa yetu. Kila unakopita sasa wakandarasi wako site wakikarabati barabara na kujenga zingine mpya...Kwa hakika tukienda hivi miaka mitano ijayo Manispaa ya Moshi itakuwa kila kona unayopita ni lami na vumbi itakuwa historia.
Suala lililopelekea kuandika uzi huu leo ni kuhusu taa za barabarani. Kwa muda mrefu sasa unapopita nyakati za usiku mji ni giza totoro maeneo yote.taa zilizopo zimebaki kuwa mapambo kwani zote haziwaki...miaa yote katikati ya mji na hata barabara ya kuelekeaa KCMC binafsi nashindwa kuelewa lipi hasa limefanya manispaa kutelekeza taa hizo.
Maoni yangu ni manispaa kufufua taa hzo kwani ni muhimu sana kwa usalama wa raia. Taa pia zinapaswa kuwepo kuanzia kibosho road haji kufika mjini na Kuanzia mjohoroni hadi mjini nawasihi kuliangalia hilo kwa jicho la pekee...
Natumaini viongozi watalifanyia kazi mapema.