Kwako Mheshimiwa Mbowe na wapenda amani wote kuhusiana na hoja ya uchunguzi huru

brazaj

JF-Expert Member
Jul 26, 2016
27,769
35,740
Haipo haja tena ya kuendelea kuwataka hawa jamaa kuridhia uchunguzi huru. Ni wazi kuwa hawautaki kwa maana pasipo na shaka yoyote utawaumbua na pia ni wazi kuwa hawatakaa waridhie kwa maana wanajua huo uchunguzi utawabaini.

Katika mazingira kama hayo kuna haja gani kuendelea kuwataka kufanya uchunguzi huru?

Miito ya kuwataka kufanya hivyo na pia hata kuwaonyesha ni kwa nini ilikuwa ni kwa faida yao iwapo tu hawahusiki imekuwa bayana mno.

Badala ya kuwaitisha kuona logic zilizowazi hivi, tuwekeze zaidi katika kumuuguza mpendwa wetu -- hawa tuwape taarifa tu ya kuwa tumewafahamu. Wajue wazi wazi kuwa tumewafahamu adui waliomshambulia mtanzania mwenzetu ambao kwa hakika ni maadui wa watanzania.

Ni aibu iliyoje kwao hata ni muhimu kuwaficha wasijue Mh. Lissu ataelekea hospitali ipi kwa usalama wake? Ni dhamana ipi wanayo purport nayo kuwa wako pro Tanzanians? Aibu kubwa kwao. Anaye umwa nyoka akiona unyasi anastuka. Jamii hufika mahali ikastuka -- na ikiwa zaidi hustuka kwa sana tu.

Wafahamu kuwa muda na wakati muafaka utakapofika jamii itasema nao and they will be held to account without exemption.

Long live comrade in the struggle - Tundu Lissu .
 
Johnson mbwambo aliandika sanaa mkuu llakin baada ya ushindi wa figisu za huyu jamaa alikaa kimyaa! Nakumbuka moja ya makala zake alisema jamaa angefaa kuwa pm. Ili pawe na mtu wa kumfunga spid governor
Doa lisilofutika. Kuna kitu Johnson Mbwambo wa Raiamwema aliandika tukampuuza, we were wrong.[/QU
 
Back
Top Bottom