celinawetu
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 1,331
- 1,059
Ukisoma vema taaaatiiiiibu utaelewa.Hizo Saccos zilikuwepo tangu kipindi cha Bw. Dau, Kahyalala na Erio.
Madudu yote ya Saccos yalifanywa na watangulizi wa aliyekuwa DG ndugu Erio
Hivyo sio sawa kumhukumu Bw. Erio kuwa amehusika na uozo uliofanywa kwenye Saccos.
Hakuna mtu amemhusisha erio na saccos, bali erio hakumchukulia hatua aliyetengeneza saccos feki na kujitwalia pesa na erio kwa kujua mtu huyo ana makandokando hakujali na kumpa umeneja.Mtu ambaye ameweza kutengeneza kitu feki ili apate pesa ukimpa umeneja unategemea nini mpendwa wangu