laptop90
JF-Expert Member
- Sep 14, 2017
- 1,810
- 2,263
Tunakupongeza kwa kuteuliwa kwenda kulisimamia shirika kubwa la NSSF ambalo kabla ya hapo alikuwepo bwana Erio.
Baada ya pongezi zangu nikupe dondoo za kitu cha kufanya mara uingiapo na kuanza kazi.
Kwanza ujue Erio alikuwa ni mtu wa aina gani.
Kwa ufupi Erio ni kati ya watu wabaya sana ambao wanaweza kuwa wanakuchekea huku wanakuua. Ni mtu hatari sana sana, alijitahidi kupenyeza kila namna aweze kubaki ila maombi ya wafanyakazi wa iliyokuwa NSSF(kabla ya mifuko kuungana) na yeye kuweza kumfitini mtangulizi wake Profesa Kahyarara (sasa Katibu Mkuu Uwekezaji) na akaondolewa pale NSSF yeye akatake over.
Huyu bwana Erio kuingia NSSF aliamua kuja na management yake toka PPF na kuwafitini wale walokuwa wanakaimu nafasi za kurugenzi baada ya managemet ya Dau kuondolewa.
Aliwafitini na kuwapeleka jela kwa uhujumu uchumi na baadae waliachiwa baada ya marehemu JPM kujua ukweli.
Sasa huyu Erio aliamua kuja na management na kuwapandisha vyeo maafisa toka PPF hadi nafasi ya Umeneja na kuwaacha waliopigana na kulifanya shirika liwe lilipo sasa.
Alijenga chuki dhidi ya waliokuwa wafanyakazi wa NSSF kiasi cha kuwanyima haki zao nyingi na hata kuvunja umoja wao wa NSSF hiari ambao walikuwa na utaratibu wa kujichangia asilimia 10 ya mshahara wao kama voluntary scheme nje ya utaratibu wa kuchangia kwa lazima ambako walikuwa wanachangia PPF kabla ya merging.
Huyu bwana ameshirikiana kwa karibu sana na mkurugenzi wa fedha (DF) katika kuwanyanyasa na kutoa lugha za matusi kwa staff wa zamani wa NSSF na kupelekea wengi kustaafu ktk miaka 55
Waliobaki waliamua kila mmoja kusali kwa imani yake ili mradi siku iishe na Mungu aoneshe njia mpya.
Sasa wewe Mr Mshomba umeingia hapo hatua ya kwanza angazia idara ya Finance na Human Resource.
Hawa watakukwamisha na au kukufitini ili wakuondoe.
Anza na Mtu anaitwa Ruchunga na Mganga huku ukifuatilia kwa karibu DIT atakaehujumu mfumo wa kompyuta.
Kuwa karibu sana na wafanyakazi wa zamani wa shirika wakupe ushirikiano na utafanikiwa kujianasua na mitego mingi na uchawi alioweka Erio ktk ofisi yake.
Usikubali kukaa ktk ofisi ya mtangulizi wako maana alikuwa mchawi sana atakuwa kaweka mambo ya ajabu ajabu ktk ofisi hiyo
Itisha vikao vya staff wote ili watoe kero zao. Hasa baraza kuu la wafanyakazi ambalo lina wawalikilishi toka kila mkoa.
Hakikisha mameneja wote wa mikoa ya Dar wanaondoka(omba vibali kwa Katibu Mkuu Kiongozi amuagize Katibu Mkuu Utumishi awapeleke sehemu nyingine) Bila kusahau mameneja walioteuliwa na Erio nje ya Utaratibu ambapo kila mtu alitakiwa aombe na usaili ufanyike kumpata mwenye sifa stahiki.
Mwisho nikutakie majukumu mema katika nafasi hii mpya.
Mungu akubariki