Kwako Masha Mshomba, Mkurugenzi Mkuu wa NSSF

Status
Not open for further replies.
Rushwa ipo Sana katika kulipa MAFAO..

Wengine wanalipwa ndani ya miezi 8 ...na wengine ndani ya wiki 2. Ina maana Kuna mafaili ya watu wengine yanasogezwa Pembeni

Omba Special Audit ya CAG hapo utaweza kugundua wizi na kuwahamisha huyo finance na It

NSSF imeoza Sana

Na wafanyakazi wanakauli chafu Sana, kwa wanaodai mafao

Nani alikudanganya Rushwa haipo TZA?
 
Haya maujinga Ya Erio hakuanza leo, mbeleko ya marehemu mjombake ilimbeba sana,
Nimeona picha akikabidhi ofisi, my friend Masha be very careful na huyu afisa uhusiano.
Na ujue Erio ni mtu wa waganga, kuna siku alionekana Pugu na gari ya ofisi kwa mganga akiwa na kondoo na alipata ajali.
Piga maji ya baraka humo ofisini kabla ya kuingia na kuanza kazi,
Na ushauri alotoa huyu bwana uzingatie.
Tunakutakia tumaini lenye kheri

Duh..! Huyu huyu Kitombi na tena huyu huyu Mshirikina mbona Kazi ni Pevu ( Nzito ) hapo hasa kwa huyu Mteule mpya?
 
Huyu bwana ameshirikiana kwa karibu sana na mkurugenzi wa fedha((DF) ktk kuwanyanyasa na kutoa lugha za matusi kwa staff wa zamani wa NSSF na kupelekea wengi kustaafu ktk miaka 55
Hili lilimkuta mzee mmoja namfahamu... alikimbia the first time amekuwa eligible kustaafu
 
Na Erio anaonekana ni mtu mwenye roho ya kichawi Sana,anawatoa wafanyakaz aliowakuta Nssf na kuwapeleka halmshaur mbali mbali,na watu wake aliotoka nao PPF anawachukua na kuwapatia hizo nafas,

Mtu wa kupenda rushwa za ngono,na hata hao viongoz ambao ameenda nao Nssf kutoka PPF wamekuwa ni miungu watu na wenye manyanyaso Sana,

Huyo DF tunaskia alikuwa na jeuri hata ya kumfitini kahyarara KWA kuwa yeye alikuwa Anareport direct KWA mwendazake maana ni Msukuma mwenzake naskia...

Siku zote mtegemea mwanadamu badala la mungu Hana pa kushikia...
 
Rushwa ipo Sana katika kulipa MAFAO..

Wengine wanalipwa ndani ya miezi 8 ...na wengine ndani ya wiki 2. Ina maana Kuna mafaili ya watu wengine yanasogezwa Pembeni

Omba Special Audit ya CAG hapo utaweza kugundua wizi na kuwahamisha huyo finance na It

NSSF imeoza Sana

Na wafanyakazi wanakauli chafu Sana, kwa wanaodai mafao

Hakika wafanya kazi hapo Wana kauli chafu Sana,

Hasa KWA wanaoenda kudai mafao yao,

Mkurugenz mpya aliangalie Sana hilo suala,na ikiwezekana hao masalia ya Erio angepiga chini yote
 
Huyo DF alikua chief acc Mkulazi, ambayo ilikua kampuni tanzu kati ya nssf na ppf.
Katika kutoelewana kati ya Erio na Kahyarara maana Erio alijiona mjuaji sana ndo Erio akaanzisha fitna kwa mwendazake kuhusu kahyarara, alimtumia huyu CA(sasa DF) ambapo waliweza kuandika hundi ya 200m na akampa erio, erio kawapa vijana wa TIS alokua anawahonga, hundi ikamfikia marehemu kwa maelezo kua kahyarara alitaka kuiba hizo hela.
Huyo msukuma ni mtu wa hovyo, hajui mambo hata board paper hawezi kuandika hadi asaidiwe na Erio.
Ni mtu mwenye roho mbaya sana na ni hatari kwa maslahi mapana ya mfuko
Na Erio anaonekana ni mtu mwenye roho ya kichawi Sana,anawatoa wafanyakaz aliowakuta Nssf na kuwapeleka halmshaur mbali mbali,na watu wake aliotoka nao PPF anawachukua na kuwapatia hizo nafas,

Mtu wa kupenda rushwa za ngono,na hata hao viongoz ambao ameenda nao Nssf kutoka PPF wamekuwa ni miungu watu na wenye manyanyaso Sana,

Huyo DF tunaskia alikuwa na jeuri hata ya kumfitini kahyarara KWA kuwa yeye alikuwa Anareport direct KWA mwendazake maana ni Msukuma mwenzake naskia...

Siku zote mtegemea mwanadamu badala la mungu Hana pa kushikia...
 
Huyo DF alikua chief acc Mkulazi, ambayo ilikua kampuni tanzu kati ya nssf na ppf.
Katika kutoelewana kati ya Erio na Kahyarara maana Erio alijiona mjuaji sana ndo Erio akaanzisha fitna kwa mwendazake kuhusu kahyarara, alimtumia huyu CA(sasa DF) ambapo waliweza kuandika hundi ya 200m na akampa erio, erio kawapa vijana wa TIS alokua anawahonga, hundi ikamfikia marehemu kwa maelezo kua kahyarara alitaka kuiba hizo hela.
Huyo msukuma ni mtu wa hovyo, hajui mambo hata board paper hawezi kuandika hadi asaidiwe na Erio.
Ni mtu mwenye roho mbaya sana na ni hatari kwa maslahi mapana ya mfuko
Ndo mwisho umefika, wajiandae na wao kuonja adha kama wenzao
 
Kama dhuluma hizo zimefanyika basi bila shaka taarifa zote zitakuwa zimefika kwa Mama na huenda ndio sababu Mama amechukua hatua stahiki ya kumtumbua.

Hao waliobaki ni vyema kweli waangaliwe wamepataje nafasi walizonazo. Kama ikibainika walitumia ujanja ujanja na hujuma basi DG mpya anapaswa kuwaondoa wote kwenye Shirika na kuwapeleka kwenye Halmashauri mpya kule Songwe.

Hii ndio tunaita Karma.
Songwe wapelekewe wenye matatizo kwa sababu ni mkoa wa Zambia?

Amandla...
 
Kwa usalama zaidi DG mpya tumia muda wako mwingi kuomba ushauri kwa Dkt. Dau huyu alijua na ana kila ktu cha kukupa ukafanya kazi zako Salama.

Ikikupendeza mtafute na aliyekuwa Mkuu wa Idara ya IT Makao Makuu waliomdhalili na kumtupa Namtumbo nae ana vitu atakusaidia.

Erio kaumiza watumishi wa zamani NSSF na pengine kasababisha Magonjwa na vifo kwa baadhi yao na kaua shirika.
 
Very true, hata kahyarara pia anaweza mpa ABC

Huyu erio na watu wake hasa DHRA, DF omba kibali wafukuze haraka sana.
Ni wauaji na watesaji, wamenyanyasa staff wa nssf, kuwahamisha na wengine mpaka leo hawajapokelewa walikopelekwa na Erio akiagizwa na viongozi wa juu awalipe mshahara ana kiburi, hajibu barua wala hatekelezi ya wakubwa zake, akiulizwa nani kahamisha hawa watu anasema ni Utumishi, utumishi wanasema yeye anapeleka majina, akishirikiana na Mganga na ushauri toka kwa DF,
Serikali imsaidie mr Mshomba kuondoa masalia yote ya ppf, asilimia 90 ya masurufu ya safari na OVERTIME wamekula wao, tunaomba internal audit ifanye analysis wampe Mshomba ukweli wa wafaidika wa fedha za safari na overtime,
Kuna mdada anaitwa Naomi mfalila ni auditor huyu ana so ni wa kumfatilia kwa karibu sana.

Sassi na meneja wa Temeke na kinondoni ndo wala rushwa wakubwa.
Wafukuzwe mapema sana.
Kwa ujumla hawa walotoka ppf ondoa wote makao makuu haraka sana watakuhujumu..

Ila wa kuanza nao ni DF,DHRA, CPCS, DIT, sassi, na mameneja wa mikoa ya dar hasa temeke na kinondoni na huyo Naomi mfalila.

Usipepese macho kwa hao watu vinginevyo utaanguka. Itisha vikao na staff wape uhuru watafunguka kila kitu, watu wameonewa hawana morali ya kazi. ERIO ametumia pesa nyingi kujilinda sasa mwisho umemfika,
Amejilipa per diems kwenda moro kufungua semina hivi majuzi na hajaenda, arudishe hizo hela haraka sana.
Fuatilieni mikopo waliojikopesha wakurugenzi akiwamo Erio na Mganga kama imelipwa na utaratibu ulifuatwa.

Mwisho nakushauri ukae mbali sana na niliowataja hapo juu maana wanaushirika wa karibu sana na Erio ambae amekutwa mara kadhaa kwa waganga.

Nakutakia kazi njema ktk kulitumikia taifa letu na Mungu akubariki sana.

Huyo Meneja wa Temeke ndo yule aliyeiba hela akiwa tanga, nasikia aliunda SACCOS hewa na kuvuta mpunga nssf, ila analindwa na mkubwa flani, huyo jamaa ni hovyo sana, hafai kua kiongozi, very corrupt
 
nadequate Follow up by NSSF on Recovery of SACCOS Loans
NSSF issued loans to Savings and Credit Cooperative Societies
(SACCOS) amounting to TZS 28.8 billion. However, SACCOS with
loans amounting to TZS 14 billion out of the total outstanding
balance of TZS 28.8 billion made no repayment during the year.
These loans were issued without adequate security cover; as a
result, the Fund is unable to recover defaulted loans through
realization of the security.
Insufficient security to cover defaulted loans was mainly caused by
inadequate review of required documents during loan appraisal
which resulted in issuing loan without adequate security cover.

Hayo madudu huyo meneja wa Temeke alihusika

Back
Top Bottom