Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 56,668
- 30,556
Unapofika wakati wa maamuzi tuwe na maamuzi sahihii.Makonda konda wa hili basi amekomaa anataka kuwalipisha walimu wawili wameonyesha vitambulisho vyao.
Mbaya nilipoingilia basi hili la Kawe - Mbezi anaanza kuwaambia wanyanyuke, namwambia kwa sheria ipi? Anasema mkuu wa mkoa amesema mpaka akutane na wamiliki wa mabasi so id hazifanyi kazi.
Najiuliza mpaka mnagawa hamkuwa mnajua hili ama ni ukiburi wa konda huyu mweupe, mrefu, mnene kidogo kama ana dharau za kipare vile.
Tunaomba wasidharirike tena weka sawa hili jambo kwa kuwaelimisha na kumuita mmiliki wake.
Mmiliki wake ni Yassin Swai.
Tunaomba pls fuatilia wasidharaulike tena.