Kwako Lara1 na Zinduna:Pendekezo laTalkshow ya wiki ijayo

SHIEKA

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
8,244
4,258
Hamjambo wana mmu wote? Bila shaka wanammu mnazifurahia talkshow za hapa MMU kama mimi. Mnakumbuka jinsi interview ya The Boss iliivyokuwa moto, pia ya prosoner xyz.
LARA1, naomba wiki ijayo tarehe 21.12. Kongosho aingie studio. Maswali yatokane kwenye theme hii: Kwa nini wanajf wamekupachika u-shemale'

Kama kuna mwingine kaandaliwa kwa siku hiyo, basi kongosho asogezwe mpaka tarehe28.12. Nina hamu sana kumsikia Kongosho akitiririka!
 
hamuelewi nini jamani, mtu mzima haulizwi sana kajipendekeza mwenyewe msimfanya ajute jamani,host lara um epunguziwa kazi huku ya kuselekt kashajitokeza
 
Naunga mkono hoja, ingawa topic inaweza badilika!

Hamjambo wana mmu wote? Bila shaka wanammu mnazifurahia talkshow za hapa MMU kama mimi. Mnakumbuka jinsi interview ya The Boss iliivyokuwa moto, pia ya prosoner xyz.
LARA1, naomba wiki ijayo tarehe 21.12. Kongosho aingie studio. Maswali yatokane kwenye theme hii: Kwa nini wanajf wamekupachika u-shemale'

Kama kuna mwingine kaanaliwa kwa siku hiyo, basi kongosho asogezwe mpaka tarehe28.12. Nina hamu sana kumsikia Kongosho akitiririka!
 
Last edited by a moderator:

Nimesoma mapendekezo yako natutayafanyia kazi! Tunakushukuru kwa ushauri! Tatizo moja linalotukabili, tuna list ndefu ya watu wa kuwa interview ambao tumeshwapa taarifa kuwa wamealikwa tarehe flani, sasa inakuwa tricky kidogo, ila kongosho aliomba ainterviwe mwaka 2013, na her wish has come true! January Kongosho ndani ya Jumbaaa! Tatizo sijui tutamuuliza maswali kama mwanaume au mwanamke?
 
hivi Zinduna, ile 'toki show' ya kule chit chat imekufa natural death au imeuliwa? Mie nasubiria siku ya kumhoji Bishanga ujue?
 
Last edited by a moderator:
Nimesoma mapendekezo yako natutayafanyia kazi! Tunakushukuru kwa ushauri! Tatizo moja linalotukabili, tuna list ndefu ya watu wa kuwa interview ambao tumeshwapa taarifa kuwa wamealikwa tarehe flani, sasa inakuwa tricky kidogo, ila kongosho aliomba ainterviwe mwaka 2013, na her wish has come true! January Kongosho ndani ya Jumbaaa! Tatizo sijui tutamuuliza maswali kama mwanaume au mwanamke?
LARA1 nashukuru kama Kongosho yuko kwenye list ya January 2013.Swali la kwanza kumuuliza lliwe hili: 'Hebu tueleze kwa ufasaha, unapojisaidia haja ndogo, unachuchumaa au unasimama?'

Jibu la swali hilo litakupa mwanga wa kuendelea na maswali mengine. Halafu lara1, kwenye hiyo list yako uloandaa, Kaunga, Eiyer, mwalimu@gfsonwin, Asprin, Boflo wapo? Kama hawapo, waweke kwenye February 2013. Nina hamu nao sana!
 
Nawaomba radhi wafuatao:mad:charminglady na Zion Daughter
Sababu: Hii thread ilileta utatanishi. Nilianza kutype vizuri na nilipomaliza salamu nikaanza na maneno mawili: bila shaka..... Lakini ajabu, baada ya kutype neno bila, ghafla kompyuta yangu ikapost thread! Sijui kilichotokea kwenye laptop yangu. Yaelekea hawa wawili waliwahi kuiona thread kabla sijaiedit kuandika maneno mengine. charminglady na zion daughter walishangaa kuona neno 'bila' limesimama lenyewe bila kuleta maana yoyote na ndo maana wakauliza kama walivyouliza. I say I am sorry for the technical error! You were right guys in raising your eyebrows.Hata hivyo namshukuru sana mlemgwa wa thread, lara1 kwa kuielewa thread na kuijibu vizuri sana.
 
LARA1 nashukuru kama Kongosho yuko kwenye list ya January 2013.Swali la kwanza kumuuliza lliwe hili: 'Hebu tueleze kwa ufasaha, unapojisaidia haja ndogo, unachuchumaa au unasimama?'

Jibu la swali hilo litakupa mwanga wa kuendelea na maswali mengine. Halafu lara1, kwenye hiyo list yako uloandaa, Kaunga, Eiyer, mwalimu@gfsonwin, Asprin, Boflo wapo? Kama hawapo, waweke kwenye February 2013. Nina hamu nao sana!
HYGEIA naomba nisiinterviwe manake nitaharibu hlai ya hewa unless kama mjadala utapelekwa jukwaa la wakubwa.
 
Last edited by a moderator:
HYGEIA naomba nisiinterviwe manake nitaharibu hlai ya hewa unless kama mjadala utapelekwa jukwaa la wakubwa.

Nilijua tu! Mwalimu lazima atakuwa na vitu moto! Kama utaingia kwenye intavyuu, tumia fafsida tutakuelewa tu! LARA1 hatakubali kuhamishia mmu exclusive interview Jukwaa la Wakubwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom