Fupisha habari kwa maneno 250 upate zawadi nono.

Sent using Jamii Forums mobile app


Soma mpaka comment hii nayoiandika upate zawadi nono, zaidi ya mshindi wa Biko


Watanzania wavivu kweli aisee, hapo umekuwa mvivu kusoma, alafu demu wako unadadai unamfikisha sasa sijui unamfikisha Yombo wakati yeye anataka kufika Mbezi beach.

Maendeleo ambayo hayana vyama yanatakiwa watu wajue kusoma. Alafu natania tu mtani usimind
 
Kwa kweli ni jambo la kheri, kuna watu mpaka leo wanatafuta watu sahihi kwao alafu unakuta mtu ana miaka 40, ukikutana na mtu sahihi hapo sawa. .

Ila isije kuwa nguvu ya dawa, Tabora huko kuna mbegu fulani wanawake wanameza, kisha anainya, anaitafuta kwa mavi, akiitoa anasafisha na kumtengenezea jamaa wake msosi, yule jamaa akila tu hachomoki. Yani atabeba mtoto mgongoni na ndoo ya maji kichwani. Kuna watu wanaitaji nguvu ya dawa wafike hapo ulipo, usichezee nafasi yako hata kidogo. .
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi
 
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi

Wewe na mimi ndio tunaomjua Mungu, watu wengi hawamjui Mungu kabisa...
 
Wewe na mimi ndio tunaomjua Mungu, watu wengi hawamjui Mungu kabisa...
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo
 
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo


Kwa kweli nishawahi kumwapisha mtu kwa Biblia na kwa kosa alilofanya na akaapia kabisa. Baadae nilijisikia vibaya kwa kweli maana yule mtu uelewa wake umefika mwisho na nilitakia kulijua hilo, dhambi ya kumwapisha itakaa juu ya kichwa changu. .

Watu hawana hofu ya Mungu kabisa, wanawaogopa askari polisi, wazazi wao, wenye vyeo, wachawi, majambazi, waganga wa kienyeji n.k ila mweneyzi Mungu aliyewaomba hawamuogopi hata kidogo. Na pale panapokuwa na shida, basi ndowanamtafuta Mungu yuko wapi. .

Ndoa inapokosa upendo wa Mungu hapo hamna ndoa, utasikia tu bwana kamchoma bibi na magunia ya mkaaa basi ujue hata hofu ya Mungu hana. Biblia imesema usihukumu kwani na wewe utahukumiwa. Mwenye mamlaka ya kuhukumu ni Mungu peke yake. Ila mpaka leo watu wanachukulia hatua mkononi. .
 
Ndoa mpya zinakuwaga hivyo, subiri muda uende mbona utajipikia mwenyewe na kujifulia. Na ikifika hicho kipindi uje na mrejesho

Hahaha kwa kweli nina miaka minne na huyu mke wangu, na sijaona mambo mabovu mabovu. Mwanzo nilikuwa namsikilizia ila nimechoka kumsimilizia nimefanya maamuzi tabia hizo hana. Mwanangu nimeokota mali kwa kweli..

Mrejesho nitawapa usijali hata kidogo
 
Hakuna. hao ni rahisi sana kuishi nao!! tatizo liko kwako me'' tuna uwezo wa kuwaweka nyumba moja wengi km mbuzi wakaridhika, na wakakupa huduma vizuri kwa zamu, mie nao 7. kila mwenye zamu yake anapanda na shuka zake ghorofani.

Outing ni za wote hkn upendeleo. kwa wanangu!!!! nimewafundisha mtoto kijana wa kiume mkubwa ni kiranja wa wote, dada mkubwa ni Matron wao!
 
Hujui wanawake wewe hata huyu anaweza kukuliza siku moja isiyokuwa na tarehe! eti kunawishwa mikono?? km kilema? haijakaa vizuri, hapo kwa x-wako umeongeza chumvi bana,

Mtu mke tena wa Muhasibu ajambe hadharani? mbaya zaidi anatamka .. ''Dear najisikia kuharisha kwa sauti? mmm!! aahaha! km ni kweli kichwa yako ina matatizo!!! mnafanana mrudie tu, mruhusu huyu wa sasa aondoke! shule yoote hiyo, na kazi, unatutia aibu wasomi, hukupendwa na videmu makini huko? Sec, O'' level, A''level chuo. kazini, hadi unapendwa na mtu wa kujamba hadharani mkuu unajichora ulivyo sababu vitendo vyake vinakuhusu. lazima ke au Me'' marafiki wana reflect tabia ya wahusika.

hata ma house girl wangu wote kwa idadi nilio wahi kuwaajili hawajawahi ku behave ki hivi!!! sikupi pole! huyo wa sasa unamtesa siyo level yako, akusubili mpaka uje ndo mle wote? nionavyo ni upendo wa kuigiza, mtachokana mapema, Muhasibu unaona fahari ku act mapenzi ya u- vipepeo?? , hayo ni mapenzi ya teenagers sec, Palee Wellcome form one Disc.Bougie,

Uhasibu ni Level nyingine ya juu kaka. mademu wajingajinga wataiogopa na kuiheshimu fani hii wenyewe wanajichambua hawakusogelei. kwanza utakutana nao wapi? hujatwambia Standard of Education ya huyo x-wako, ukilinganisha na huyu wa sasa!!

Na ilikuwaje akaondoka kirahisi ivo kumpisha huyu wa sasa, Demu kuacha Muhasibu pika pakua nyama kula kusaza na kodi ya Meza juu! si kitu rahisi ni vita hasa si kitoto, kuolewa ni ajira. kwa hasira unaweza tupiwa jini la Makalio! sauti makalioni,ili wakose wote, cheza na penzi la muhasibi wewe!
 
Back
Top Bottom