ommy gm
Member
- Aug 22, 2018
- 39
- 119
Asante nduguWow!, what a beautiful couple Mungu awatunzie ndoa yenu ,mko vizurii
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante nduguWow!, what a beautiful couple Mungu awatunzie ndoa yenu ,mko vizurii
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipiKwa kweli ni jambo la kheri, kuna watu mpaka leo wanatafuta watu sahihi kwao alafu unakuta mtu ana miaka 40, ukikutana na mtu sahihi hapo sawa. .
Ila isije kuwa nguvu ya dawa, Tabora huko kuna mbegu fulani wanawake wanameza, kisha anainya, anaitafuta kwa mavi, akiitoa anasafisha na kumtengenezea jamaa wake msosi, yule jamaa akila tu hachomoki. Yani atabeba mtoto mgongoni na ndoo ya maji kichwani. Kuna watu wanaitaji nguvu ya dawa wafike hapo ulipo, usichezee nafasi yako hata kidogo. .
Kwa mtu anae mwamini Mungu anaemwabudu sidhani kama atakumbuka kuna mganga wala madawa labda wale vuguvugu ambao moto hawapo baridi pia hawapo kikwetu tuna sema kumcha Bwana ni chanzo cha maarifa haijalishi uko pande ipi
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapoWewe na mimi ndio tunaomjua Mungu, watu wengi hawamjui Mungu kabisa...
Ndio tatizo linapoanzia watu wanajiendesha kwa akili zao bila kua na hofu ya Mungu hapo
Ulevi
Uzinzi
Ushirikina
Wizi
Chuki
Vyote vinakuandama ila ukiwa mtu wa ibada angalau utapunguza mzigo kidogo
Kitambo kidogo japo nipo off siku nikiwa tayari nitakuwa na majibu sahihi mkuuTupia neno au bado hujaoa.
Hawajakutenda kabisa hawa KE
Ndoa mpya zinakuwaga hivyo, subiri muda uende mbona utajipikia mwenyewe na kujifulia. Na ikifika hicho kipindi uje na mrejesho
Ndio nafanya maendeleo mke baadae kidogo mkuuMwana fanya maendeleo umri wenyewe unasonga, achana nao wavurugaji...