Umomi
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 677
- 983
Leo naomba niseme kitu kwa machungu sana. Hakuna kitu ambacho sipendi maishani mwangu Kama kuumba msaada kwa mwanadamu mwenzangu hasa msaada wa kifedha. Wanadamu bana siyo watu ambao naweze kuweelezea shida zangu labda nieleze huku jf ambako hakuna anaye nifahamu
Jamani tunajua saivi ajira ni ngumu sana tena sana. Siku hizi ata sisi tuliosoma course Kama za Education bado tunaenda kutembea na bahasha kutafuta ajira Ni kitu ambacho kinaumiza sana but tutafanyeje? Maisha yamekuwa magumu sana kwetu sisi wasomi tunashindwa tufanyeje.
Wengi tulikwenda chuo tukiwa na lengo la kusave boom ili baada ya kumaliza chuo tupate pa kuanzia ila mambo yalikwenda mrama na tunaelekea kumaliza bila hata nauli ya kuturudisha tulikotoka huku tukiwa na theory za kutosha kichwani
Nadhani wengi wetu tulishuhudia hali halisi kipindi cha CORONA kweli tulichakalika sana hasa sisi ambao hatutaki kakaa bila kazi. Ila cha kushangaza mtu anakwambia wewe na hii kazi mbona huendani nayo kabsaa hasa sisi tuliopewa mili ya kuonekana Kama tuna pesa sana.
Japo nimechanganya habari lakini naomba kuhitimisha kwa kuomba wasomi wenzangu tupige kazi yeyote hata Kama Ni kuzibua vyoo lakini tukiwa na lengo. Tufanye huku tukinunua vitu ambavyo badaye tutaviuza na kupata mtaji mkubwa ili tuondokane na fedheha za wanadamu ambao hawakupata bahati ya kwenda shule. Kweli huwa nachukia mtu kunidharau kisa nimesoma afu sijafanikiwa.
Kweli kuna kipindi nilipigika mpaka nikatamani nife make mpaka kuna ndugu yangu anayo pesa lakini nikimuomba ata anikopeshe ata 20000 tu nifanye mtaji wa kuuza ata nyanya ananinyima. But niliposema Sasa nimeamua kupambana kweli alimtuma mtu akaniletea 100k. Niseme tu ukweli nilienda siku hiyo hiyo nikanunua materials ya kujenga banda la kufugia kuku. Ili pesa nilikuwa naipata niweze kuzungusha vzr.
Nilichojifunza ni kuwa tusipende kuongea sana but tufanye action sana. Kuna vijana wengi tupo mtaani bila kazi but nashauri tuchape kasi hasa zile kazi ambazo zinatupa muda wa kujitawala. Tusipende kuomba mpaka vocha jmn. Unakuta kijana kamaliza chuo kikuu na hana uwezo wa kununua hata bando la 1500 kwa wiki inauma sana.
Mungu akutangulie ila Mimi tayari nimeacha chuo nikiwa zimebaki wiki 6 nimalize saivi nipo navua samaki huku ziwa Victoria karibuni kwa samaki safiii