Kwako jirani yetu Irene Uwoya

kinyaa

Senior Member
Jan 30, 2014
155
89
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.

Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.

Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee

Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
 
Ungenipa hiyoshughuli
 
Hili tatizo la mastaa kufungua muziki sauti juu na kukera majirani lipo sehemu nyingi sana duniani, Marekani ndo kinara, uzuri wao ukiripori tu polisi lifanyiwa kazi haraka. Karipoti kwa seriali ya mtaa.
 
Hata kama haupo humu hopefully ujumbe utakufikia. Irene uwoya wewe ni mdada mtu mzima mwenye hadhi yako ,lakini mambo unayoyafanya kama watoto wanaonza balehe.

Dada yangu wewe kila weekend mamiziki tena kwa sauti ya juu, jamani watu hatulali. Yote haya tumevumilia ila jana sikukuu ya Iddi umetukomesha baada ya kugeuza nyumba yako disco. Muziki mpaka rohoni kwakweli hatuna hata nafasi ya kulala ukiangalia wengine wana watoto wadogo. Irene hata kama unataka kula bata na shoga zako kuwa mstaarabu jamani, weka muziki wa wastani.

Jana umetulaza macho leo tena umefungua mziki jamani uwiiiiiiii, natamani nikurudishie kodi uhame jamani. Halafu hujistukiii mtaa mzima wewe peke yako ndo una makelele mweeeee

Unatukwaza Irene Uwoya badilika fanya ustarabu haya ni makazi ya watu tunaomba utuheshimu.
mkuu umepatwa na kinyaa,pole aisee!
 
mfuate mwambie face to face haisaidii kulalamikia hapa na wikiend ndo hiyo inakaribia mbona utakoma ila usijali hakuna sikukuu siku za karibuni so mtakaa fresh now
 
Tatizo miziki mikubwa wamekutana nazo ukubwani shida yake sasa hzo hapo. Mumkatie umeme.
 
Mkuu hio mbn ni rahisi tuu, siku unajua leo yupo na hakuweka mziki washa pikipiki, tafuta chumba kilicho karibu na chumba chake kama unauwezo wa kupata pikipiki kwa fundi gereji azima, nunua japo lita 3 za petrol, toa ekzozi, washa mashine wakati unajua anataka kulala. ila siku hiyo itaidi uombe radhi kwa majirani wengine pia, naamini hata akikufata utakuwa na jibu zuri kwake.

We are being targeted while they are sitting safe and sound in their palaces
 
yaan unamuandikia uzi jirani yako???uzi wanaandikiwa akina baba jesca wanaojifanya untouchable,unamuandikia uzi kahaba huyo hata ukikutana naye kariakoo ukimuita anakusikiza,please acha u ndi ndi ndi mkuu mfuate mwambie nini kinakukera
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom