EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,518
bhana yaani kuwa mbele kwa points 5 mnajiona mpo juu???Simba kwakweli msimu huu mkae pembeni mchukue peni na note book muangalie jinsi gani wananchi wanapiga pira sakafu pira busati
Kumbuka hapo ni mechi mbili tu, halafu ligi ndio kwaanza inaanza, lolote laweza kutokea hata majeruhi tu na mkayumba so hata hamjafikia rekodi yenu ya mwaka jana, kaeni kwa kutulia