Kwako Babu Mpendwa 💕

Hii inaonesha wazi babu ni muafrika asilia....

Ana boma lake na ndani ya boma ana nyimba kadhaa.

Kika bibi anajua majukumu yake, bibi wadogo wote wanamsikiliza bibi mkuu Sky 😜.

Aahahahahaa this is more than a joke and mind refresh but to some extent its some people's reality in their real life. Na maisha yanaenda vizuri tuu...

Nakaribia Butihama....
 
Babu Asprin ni kama mvinyo, kila anavyozidi kuzeeka ndio anazidi kupendwa.
Babu na mimi nikikua mkubwa nataka niwe kama wewe.
Jitahidi uwe mkubwa. Naahidi kukuachia michepuko yangu ikufunze....

Ukubwa raha sana hahahaaa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom