Kwaito Songs za Kwenye Maharusi

TANMO

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
11,510
11,271
Wajameni naombeni mnisaidie kwa kunitajia majina ya zile nyimbo maarufu za Kwaito zinazopendwa sana kwenye harusi nyingi za kibongo, nataka kuzitafuta nizi-download... Manake............................

Wenu katika ujenzi wa Taifa.

Anza na kitu cha zimboko
 
samahani nami kwa kudandia thread.
naomba nisaidiwe jina la wimbo wa pasaka ambao jina la kiswazi tunauita halleluya kuu,wimbo huu umeimbwa kitaalamu sana,na sauti zake zinabadilishwa vizuri sana. pia nitajiwe mtunzi au mwimbaji/kwaya.
 
Wåbongo wengi hawazijui kwaito,hizo zinazo pigwa kwenye maharusi ni Afro Pop, za akina Malaika, Mafikizholo n.k.. KWAITO nize za aki MDU,ARTHUR nk nakunanyingine ambazo zina Pigwa na akina Dj Cleo,Big Naz nk,hizo ni mtindo mpya waitwa Housing.
 
hapo dhihamba nawe ndo kila kitu.....haya twende kulia......kushoto ......mbele ....ruka .....makofi kushoto ....kulia ...twendeeeeee.....hapa full kipupwe......
 
Back
Top Bottom