Kwahiyo Waziri Mkuu wa Ethiopia kupewa tuzo pia ni kukubali sera ya ubinafshaji/ubepari?

kimsboy

JF-Expert Member
Oct 17, 2016
8,991
17,888
Hivi vituzo uchwara vya Nobel ni mpango wa mabeberu tu huu kuendelea kunyonya rasilimali.

Eti miongoni mwa sababu za kupewa tuzo ni kukubali ubinafsishaji/ubepari kubinafsisha rasilimali za nchi kwa kikundi cha wachache aka wawekezaji au wakoloni mamboleo wanaojiita wawekezaji.

My take: Leo nawasilisha hoja ya kitoto tu yaani kama wale Lumumba.

FB_IMG_15711332024023594.jpeg
 
.... Huyo ndiye Abiy Ahmed Waziri Mkuu wa Ethiopia aliyesafishwa kwa damu ya Yesu maana imeandikwa "Tafuteni kwa bidii kuwa na amani na watu wote, na utakatifu, ambao bila kuwa nao, hakuna mtu atakayemwona Bwana". Bwana Mungu wa Yakobo amlinde sana Abiy; Amen.
 
Wewe hayo mashart ya kijinga umeyatoa wapi!?
Wewe unaijua ata hiyo kamati ya Nobel prize au unajua NEC tuu?
Kwahiyo hata madiba alifanya hayo?
Na Askof tutu wa SA nako alibinafisha nn? au madhabahu ya kristo?
Kama ni ubinafshaji wangempa mzee Ben wa kwetu ndiye aliyewazalisha akna nanili wa kihindi
 
Naona umeingiza udini hata hivi unadhani mimi huwa natizamana dini ya mtu
Mnaokimbilia madini ni nyie wafia dini
 
Wewe hayo mashart ya kijinga umeyatoa wapi!?
Wewe unaijua ata hiyo kamati ya Nobel prize au unajua NEC tuu?
Kwahiyo hata madiba alifanya hayo?
Na Askof tutu wa SA nako alibinafisha nn? au madhabahu ya kristo?
Kama ni ubinafshaji wangempa mzee Ben wa kwetu ndiye aliyewazalisha akna nanili wa kihindi
Hivi hiyo tuzo alipewa Gaddafi? mtu kama hugo chavez jee lakini watu wa hovyo kama kina Suchi,na watetezi wa haki za mashoga hizi tuzo huwa huwa hawanyimwi
 
Back
Top Bottom