Kwahiyo Waziri Mkuu Mstaafu Mzee Warioba Yeye hatembelewi kwakuwa hapendi Ufisadi na wanatembelewa Kwanza waliokuwa Mafisadi Wakuu Tanzania?

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,417
108,519
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
 
Wastaafu wanaowashwa washwa kama hao utapata Busara gani ukiwatembelea? Au yule wa Kujipendekeza Pinda?
 
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
Siku izi anaitwa Feisal Koti
 
Hiyo mada au hoja ya ufisadi kwa sasa chadema hawana hamu nayo. Imewadhalilisha, imewaaibisha na imewadharaulisha sana kwa watu waliokuwa wanawaamini na kuwaheshimu kwa hoja zao kabla ya 2015.
 
Kuna mtu alimpenda Lowassa kama Magu? Alishindwa kabisa kuficha Mahaba yake Kwa Lwaigwanan, sijawahi kumuona Magu akifurahi kama ile siku katembelewa na Lowassa Ikulu, Mother anaendeleza "ligasi"
 
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
Lowasa, marehemu maalum seif, jakaya kikwete hao ni wanasiasa wenye ushawishi mkubwa Sana Sana hapa nchini hao wanawafuasi ..si mchezo mchezo
 
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
Mkuu GENTAMYCINE kwani Mh. Rais amekuambia kuwa amemaliza kuwatembelea viongozi wastaafu wote? Mpaka 2025 atakuwa amemaliza kuwatembelea wote. Hivyo tumpe muda mkuu. Lakini si unajua nguvu ya Mzee Mamvi Chamani? Tuishie hapo mkuu. Naiona 2025😀😀😀😀
 
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
Yule Jamaa anayetumikia kama Mwenyekiti wa Mashetani mbona aliwapa kesi za uhujumu uchumi mafisadi akamwacha huyu unayemwita Fisadi? Kama alikuwa Fisadi mbona hajafungwa mpaka Leo? Hata kukanyaga tu kisutu atie Baraka Ardhi ya Kisutu?
Acha mama arejeshe mahusiano mazuri ndani na nje ya nchi mkuu wangu GENTAMYCINE .
 
Sawa kuwa sasa uko chini ya Maelekezo ya Mswahili wa Chalinze najua ndiyo anakuweka karibu na Rafiki yake Mwalimu wa Ufisadi Tanzania nzima ili akufundishe na Wewe 'Kuwafisadi' Watanzania ili mpaka unatoka basi uwe umeshawekeza vya kutosha katika Kisiwa Tajiri cha Karafuu na chenye Vijana na Wanaume wengi 'Sleki Sleki' na wanaopenda sana 'Kurembua' macho yao kama Mchezaji 'Mbovu' wa Yanga SC Feisal Salum 'Fei Toto' pia.
Warioba huwa anasikia la mtu? Au yeye anataka asikilizwe tu? Kuongea kwa ustaarabu lazima wote mshiriki.
Mambo gani haya ya kina baba haambiliki?😀😀😀😀
 
Back
Top Bottom