Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Oohh sawa sawa kwahiyo wanaume wanaowafanyia wanawake hayo yote wako sahihi si ndiyo??
Tatizo huelewi kinachoongelewa ama unapindisha ukweli. Mimi nikisema kulala mlango wazi kumesababisha wezi kuiba, mbu kujaa ndani, vumbi kujaa ndani n.k. halafu wewe unauliza kwa hiyo wezi wanaoingia kuiba wako sahihi?
 
Watu wanazunguukaa wana ongea ongea wana pindisha pindisha mambo mbona

jambo jepesi sana kuoa single mother ni kuoa mke wa mwanaume mwenzako..

baba mtoto akitaka anytime any day anachapa unless ni mjane ,kabakwa au alipata mimba akiwa under 15 tuseme alirubuniwa otherwise bora uishi pekeako alafu mbona wanawake wapo wengi sana yani wadada woote hao mjini mpaka ukaoe single mother ayu serious are serious you ?
 
Tatizo huelewi kinachoongelewa ama unapindisha ukweli. Mimi nikisema kulala mlango wazi kumesababisha wezi kuiba, mbu kujaa ndani, vumbi kujaa ndani n.k. halafu wewe unauliza kwa hiyo wezi wanaoingia kuiba wako sahihi?
Ndiyo lazima niulize kwa sababu unawatetea kama kitu kingekuwa siyo sahihi usingekitetea maana haiwezekani useme na wanaume nao wanakosea halafu hapo hapo unawatetea maana yake nini si maana yake wako sahihi au??

Halafu kumbuka kufunga milango ya nyumba siyo suluhisho la wezi kuacha kuiba maana kuna wezi wanavunja milango na kuna raia wanaishi kwenye nyumba mbovu kutokana na hali duni ya maisha kwahiyo wezi wasipokemewa kuacha tabia yao ya wizi wataendelea kujiona wako sahihi siku zote na hata mtu ajikinge nao vipi bado watatafuta kila mbinu ili waje waibe kwa sababu wanajiona hawana makosa na ndicho nilichokuwa nakisemea pale juu na hata hivyo maandiko si yanakata wizi au sasa iweje tusiwakemee wezi!!
 
Suluhisho la kwanza funga milango kila wakati kama haupo nyumbani. Ndiovyo ninavyomwambia binti. Suluhisha la pili jamii ianzishe ulinzi shirikishi ili kuwabaini wezi kabla hawajaiba na kuwadhibiti. Ndivyo ninavyoiambia jamii. Kw wezi, hao ni kuwawekea mazingira magumu ili waogope kutiwa mikononi ama kuuawa. Hakuna serikali duniani inayopambana na wizi kwa kuwasihi wezi waache kuiba, bali huwaonya raia kuchukua tahadhari huku ikiviagiza vyombo vya usalama kuwasaka wezi hao.

Sasa wewe unataka watu walale milango wazi huku wezi wakihubiriwa waache kuiba!! Funga mlango mama, wezi wapo tu ila usiwape urahisi. Wanaovunja ni sawa na wabakaji, hao nao wapo tu, ila kuna namna ya kushughulika nao.
 
Mimi sijasema watu walale milango wazi sijui kama unaelewa, yaani wewe umeng'ang'ania kudhani kwamba mimi sitaki wanawake wajitunze.

Watu wafunge milango ndiyo lakini na wezi pia waache kuiba, vivyo hivyo wanawake wajitunze ndiyo lakini wanaume nao waache kutongoza hovyo na siyo eti mnasingizia wanawake wanawatega wakati hata wanaovaa mabaibui kila siku nao wanatongozwa kwa nia ovu.
 
Inawezekana.
Single mother anapaswa kuolewa na single father au Mgane au mwanaume wa makamo au mzee. Kamwe kijana usijaribu kuchukua single mother, utakuwa unabahatisha mnoo, na huenda ukateseka sana.

Single mother hawana shida, shida ni vijana wanaokimbilia kuwaoa single mother wakati vigezo na masharti hawawezi kuvizingatia.
 
Mimi sijasema watu walale milango wazi sijui kama unaelewa, yaani wewe umeng'ang'ania kudhani kwamba mimi sitaki wanawake wajitunze.

Watu wafunge milango ndiyo lakini na wezi pia waache kuiba, vivyo hivyo wanawake wajitunze ndiyo lakini wanaume nao waache kutongoza hovyo na siyo eti mnasingizia wanawake wanawatega wakati hata wanaovaa mabaibui kila siku nao wanatongozwa kwa nia ovu.
Pole sana. Wanawake mnatoa ya chumbani nje halafu mnataka wanaume wasiwake tamaa? Kwa kuwa mmeikataa hekima mtadumu kuwa vyombo vya starehe, mwanaume huamshwa hisia zake kwa mwonekano wa kikahaba wa mwanamke. Sasa endelerni kubisha hata penye ukweli mkitafuta usawa.
 
Huu uzi umefika page ya 120! Anyways, najua nachukiwa humu JF, ila nawaombea single mothers, Mungu awafanyie wepesi. So much hatred.
 
Pole sana. Wanawake mnatoa ya chumbani nje halafu mnataka wanaume wasiwake tamaa? Kwa kuwa mmeikataa hekima mtadumu kuwa vyombo vya starehe, mwanaume huamshwa hisia zake kwa mwonekano wa kikahaba wa mwanamke. Sasa endelerni kubisha hata penye ukweli mkitafuta usawa.
Nadhani niishie hapa tu kwa sababu imekuwia vigumu kwako kunielewa, usiku mwema.
 
Single mother anastahili kuishi lakini hafai kuolewa na anayeanza ndoa. Mwenye kuanza ndoa anastahili kupata mke fresh wapate uzoefu pamoja, sio single mother. Weka nukta hapo. Mengine blah blah tu.

Huyo mke fresh anapimwaje mkuu? Unaweza chagua unayedhani ni fresh ila maisha yake alopitia na mambo yake kiujumla single mama anasubiri
 
Mshindwe mnaopreach hatred towards single mothers, wengine hata baba zenu halisi/ biological hamuwajui kisa mmezaliwa ndani ya ndoa mnajiona mna right ya kuwasema vibaya single mothers!

Kama ni umalaya ulikuwepo kuanzia enzi vitabu vinaandikwa ungekuwa sio advantageous ungekufa natural death,,,
 
Mke bikra sio fresh tu. Kwa wakristo biblia imeagiza hivyo pia. Mwanamke aliyelala na wanaume ndio yale yale, na hii ndio sababu mnakuja na kauli za kudai single mothers wametuloa kuliko hao. Mke amepaswa kuolewa akiwa bikra na si kwa kigezo cha kutokuzaa
 
Pigeni kelele humu JF ukimaliza zima laptop yako ulale!
Ukweli utasemwa no matter what. Turejee kwenye misingi ya asili. Najua neno hili ni gumu na sio kila mtu aweza kulipokea. No hatred, no nothing, tuwakanye binti zetu waepuke ukahaba waitunze bikra kwa ajili ya kufunga mkataba wa ndoa
 
Hio misingi ya asili ndio ipi na ilienda wapi mpaka sasa hivi ndio tuirejee? Bikra kila mtu alikuwepo nayo.. Malay.a sio Malay,a..wote walizaliwa nazo ... no big deal..bikira imekua overrated in this topic ... ingekua kweli bikira inaserve function watu wangeziweka, unfortunately bikira hai determine uhai wa ndoa, wala wanaume kuchepuka haiwazuii.. which leaves bikira to useless piece of shit!

Nenda katafute submissive wife huko..mwenye bikira na asie na mtoto,, mimi nawaheshimu single mothers it’s because of Love and Sacrifice they have THEY CHOOSE TO GIVE SOMEONE LIFE ..they are strong not cowards like some of you people sit on your computer na kuwaacha feeling worthless!
 
Umeona tafiti au unaongea kwa sababu tu umeumia? Kushabikia ukahaba eti kwa sababu bikra unaiona haina maana ni mtazamo w ajabu zaidi. Kwamba single mothers ni strong, hiyo ni misemo ya kwenye social media lakini uhalisia ni tofauti kabisa.

Uhai wa ndoa unakuwa determined na bikra, research zinaonyesha hivyo na sio kauli za walioshindwa kutunza bikra zao. Mwanamke asiyetambua thamani ya bikra yake hafai kuwa mke, I am sorry to say this.
 
Mke bikra sio fresh tu. Kwa wakristo biblia imeagiza hivyo pia. Mwanamke aliyelala na wanaume ndio yale yale, na hii ndio sababu mnakuja na kauli za kudai single mothers wametuloa kuliko hao. Mke amepaswa kuolewa akiwa bikra na si kwa kigezo cha kutokuzaa

Sawa mkuu

Ila hakuna mstari kwenye biblia umesema mwanamke aliyekwisha zaa asiolewe imetoa hata muongozo kwenye hilo
Na bikra zipo madukani siku hizi nyingi tuu kila mwanamke anaweza kuwa nayo

Cha maana mwombe Mungu akupe mwanamke sahihi
 
Back
Top Bottom