sheremaya
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 2,895
- 5,909
Mimi nimeolewa juzi tu na mwanume mwenye mtoto, jamani najutaaaaa. Kama isingekuwa ndoa ya kanisani tungeshaachana, japo sijui yakinishinda nasepa tu. Lakini kusema kweli ni mtihani.
Tatizo lipo wapi mama,toa ya moyoni kidogo