Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Usitake nikutukane vibaya sana boya wewe, nimekwambia mvulana ni baba yako aliyekuzaa sasa endelea
Hahahaha yaani unanitishia matusi?? Tukana ili tuone kati ya mimi na wewe nani ni mpumbavu sasa na hapo najua hauna tusi jipya zaidi ya yale yale matusi ya nguoni na yale yanayohusisha viungo vya mwili na kuwaingiza wazazi ambayo hayanishitui hata kidogo kwahiyo kama una mapya ambayo sijawahi kuyasikia kabisa yalete!!
 
Kiamba mkumba wewe uliyetolewa ubikira shule ya msingi, ajuza mkubwa.
.
Usinizoee zoee mimi kamzoee baba yako dagaa wewe
 
Mkuu, nasikitika ulichoandika ni kujaribu kubalance gender. Ukweli hauko hivyo hata kidogo. Nikuulize swali dogo tu, kwa nini inawezekana kwa mwanamume kuoa wanawake zaidi ya mmoja na isiwezekane kwa mwanamke kuolewa na wanaume zaidi ya mmoja?

Sipingi kwamba mwanamume awe na make mmoja kwa sababu za kiimani lakini,, hoja hapa ni binti asiolewe na mwanamume aliyezaa this is wrong in all accounts. Labda kama ni kwa mtazamo was equality na sio uhalisia na asili.

Nakusikiliza
Ndiyo, binti asiolewe na mwanaume aliyezaa, akitaka yakamfika avumilie tu. Ukichanganya ulanzi wa leo na mkangafu unapata kitu tofauti kabisa, msichanganyane mtaumizana bure.
Binti kuolewa na mwanaume aliyezaa ni sawa na kuolewa mke wa pili, unless huyo mzazi mwenza alishafariki. Kama mzazi mwenza yupo, na hata kama ameolewa, na hapo nakujibia swali lako, ni mke mwenza mwenye waume wawili.
Hii nilishuhudia mwaka juzi kwenye harusi, bibi harusi alikuwa na baba wawili pale high-table, mmoja ni baba mzazi na mwingine ni mume wa mama yake, kiuhalisia wote wawili walikuwa waume za mama yake kwa sababu kuna wakati walikuwa wanamhudumia mwanamke huyohuyo at the same time. Mwanaume A anatoa matunzo ya mwanae na mwanaume B anatoa matunzo ya familia lakini yote yanapokelewa na mwanamke C na yanatumiwa na familia ileile!
Acheni watu waoane fresher kwa fresher, mkangafu kwa mkangafu. Tofauti na hapo ni duhuluma na kuumizana roho!
 
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
IS DATING A SINGLE MOTHER OR OLD MAN A LOVE SOLUTION???
 
Na kweli tumuulize mtoa mada hili swali mbona wanaume wakitongozwa na wanawake hawakatai??
Hakuna mwanaume mwenye uwezo wa kukataa anapotongozwa na mwanamke, isipokuwa tu kama huyo mwanamke mvuto ziro. Otherwise sumu haijaribiwi kwa kuionja. Ukibipu unapigiwa. Ukiacha goli wazi kitu kinatinga, na matokeo yake yanakuhusu mwenyewe mwanakulitaka mwanakulipata, unakuwa singo maza unahangaika nalo na hata aliyekupelekea moto atakuwa miongoni mwa watakaokucheka!
 
Pia mawanawake wasilaumie kuwa ni maharagwe ya mbeya, maana mwanamke awaweza tongozwa na me 10 na akawakataa wote, lakini mwanaume akitongozwa na k 10 atakubali 7
 
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
Et mwanamke unatuma tu sms za kuomba pesa afu hutoi love huo ujinga mabaharia hawanaga hzo,mwingine utasikia hatufanyi mapenzi mpaka ndoa kama ndo hvo sio mbaya na wew usitake pesa zake subiri had ndoa mfyuuu...mbaya zaid ucpompa et ananuna mbona yeye anavosem tusubir ndoa baharia yuko kawaida.

NB.Wanawake wengi wao wanaona wasipopew wakitakacho kwa mda muafaka kama hapendw na kuanza kutafta matabaka mangine
 
A typical desperate singo maza crying for market, na nyie mlipitia huko kwenye under 20.... tulieni muda wenu umeshapita.
 
Kushambulia mtu kama kawaida...badala ya kum-challenge kwenye ushauri wake.
 
Kwahiyo mfano wa bwana wako unakuja kugeneralize wanaume wote as if ni homogeneous entity.
Hawa wanaume wamekuwa watu wa ajabu sana,tena sana

Wanawake wapo tu wengi mtaani,wazuri na wavumilivu na wanaojua mapenzi lakini anawaacha anakimbilia wanafunzi ,halafu wanawapa mimba miaka 30 jela

Hiyo haitoshi,nimekutana na kaka mmoja analalama kwa mwenzake alivyo kwenye mahusiano na binti wa umri wa miaka 17 na anavyomnyanyasa

Huyo mwanaume anadai amekuwa kwenye mahusiano na huyo binti wa kidato cha Tatu ndani ya miezi 4 tu ametumia zaidi ya laki Tatu

Anasema mwanafunzi amekuwa akimuomba hela ya matumizi mara kwa mara,na amekuwa akimuomba amnunilie vitu vya gharama

Hata wakiwa 6 kwa 6 hapati ushirikiano wa kutosha na hudai amechoka mapema na siku ya kumpa mapenzi ni baada ya mwezi mmoja na huku kila siku anatumiwa SMS za kuombwa hela

NB.Nimegundua wanaume hawana akili,unamuacha single mother mtaani,wa kukupa mapenzi unavyotaka unakimbilia under 20 halafu unaanza kulalama kwa wenzio

Mtaishia gerezani wote, acheni wanafunzi, madada tupo wengi mtaani,tunajua mapenzi na unapewa bila ratiba,na matumizi yetu ni kidogo sana

Acheni maisha ya risk
 
Kumpa mimba mwanamke wako halafu ukamkimbia na kumfanya awe single mother hakutatuzuia sisi kumpenda. Tutampenda, tutafunga nae ndoa, atafurahia maisha mpaka awe chi chi chibonge
Mwisho wa siku yapaswa uelewe kuwa Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine...anapaswa kupendwa, kuthaminiwa, kusikilizwa na mengineyo...

Kuwa single mother hakumfanyi yeye kuwa disapointed kwenye jamii la hasha ana nafasi tena ya kumpata mtu sahihi wa kuanzisha naye maisha ya mahusiano hatimaye ndoa na kufurahia maisha yake wala haitaji huruma ya mtu kwa ajili ya kumsaidia kulea mtoto wake kwani wanawake wengi wanaoachiwa watoto husimama zaidi ya baba kwenye familia zao ivyo ikitokea umempa sapoti kwenye hilo ni kujiongezea credit kwake si kigezo kikuu cha kukufanya akupende zaidi....

Msiwadharau single mother kwa kuhisi hawana nafasi tena ya kufurahia kile walichokikosa mwanzo.....
 
Mwisho wa siku yapaswa uelewe kuwa Single mother nae ni mwanamke kama wanawake wengine...anapaswa kupendwa, kuthaminiwa, kusikilizwa na mengineyo...
Kwani huwa hawatendewi hivyo? Me naona ni baadhi ya wanaume kuogopa single mom's kutokana ile bond ya mtoto kati yake na mzazi mwenzie na wengine hawakati mawasiliano kisa mtoto na mwisho wa siku ndio ile kupasha kiporo Na kuleta mtafaruku.

Halafu sidhani kama kwenye maisha halisi huku kuna kudharauliwa kwa single mamaz, we usipagawishwe na watu wa JF wakiandika kwa mihemko kuhusu single mamaz.
 
Back
Top Bottom