Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Jibu hilo swali acha kulalama
Unataka nikujibu kutokana na uhalisia?? Wapo wanawake wengi tu wanaolewa na waume zaidi ya mmoja na ndoa zinadumu ndiyo maana nakwambia wewe unahitaji exposure zaidi ili uendelee kujifunza mambo mengine kuhusu maisha au hata kama hauna exposure basi jaribu hata kuwa mfuatiliaji mzuri wa haya mambo ili siku nyingine usije na nyuzi kama hizi zenye porojo nyingi kuliko uhalisia!!
 
Baadhi uliyoandika ni kweli sababu nimeshuhudia na mengine kuona.
Kuna mdada alikua ana watoto wawili na anataka mahusiano lakini sharti lake kubwa ni watoto wake wapendwe, baadaye aka jisahau akasema yeye kuzaa basi tena, watoto keshapata ingawa muda huo yupo kwenye penzi jipya.

Mwingine rafiki yangu mmoja alilelewa na baba yake wa kambo na akapata mdogo wake kupitia huyo baba, sasa mama yake rafiki yangu alihakikisha rafiki yangu anapata huduma na elimu bora kuliko mdogo ake ambaye yule mzee ni baba yake mzazi, hadi ndugu wa yule mzee wakawa wana shangaa mzee anamtunza mtoto wa kambo kuliko mwanae wa kumzaa.

So haya mambo yapo Mungu atusaidie sisi ambao hatuoa.
 
1. Watoto wa mitaani.

2. Single mamaz

3. Utoaji wa mimba

Haya yote yanachangiwa na wanaume 80% .

Ukiwa bega kwa bega na mkeo /mpenzi wako ,haya Ni ngumu kutokea. Najua hapa nimegusa betri mabaharia wote MNIWIERADHI

Marianah njoo unilinde mpenzi.
 
Mimi ambaye siyo single father nakutaka na wewe hiyo ndoa si itakuwa ndoani kweli kwa haya mawazo yako? Mtoa uzi kaandika ukweli lakini ndiyo hivyo anatupiwa mawe. Kuna jamaa yangu ameoa single mother ila mambo anayokutana nayo yanaogopesha sana ndiyo maana nimekataa kuoa single mother hata kwa mtutu wa bunduki. Mwanamke anajali watoto wake na kazi. Kama mwanaume unakuwa namba 3 si bora uwe bachelor milele
SINGLE MOTHER + SINGLE FATHER = NDOA

Just one woman???sample size is too small to make generalization sir!
 
Unataka nikujibu kutokana na uhalisia?? Wapo wanawake wengi tu wanaolewa na waume zaidi ya mmoja na ndoa zinadumu ndiyo maana nakwambia wewe unahitaji exposure zaidi ili uendelee kujifunza mambo mengine kuhusu maisha au hata kama hauna exposure basi jaribu hata kuwa mfuatiliaji mzuri wa haya mambo ili siku nyingine usije na nyuzi kama hizi zenye porojo nyingi kuliko uhalisia!!
Amen
 
Umeeleza ukweli mtupu na kama ni mtihani umepata 100%. Hichi ulichoandika kinatokea sana tena sana kwenye jamii zetu. Thumb UP
Mtu ambaye ni single father unamshauri vipi?
Ni ngumu sana mkuu, lakini ni bora akaoa binti ambaye hajazaa bado ili aanze kujifunza kumjali mtoto. Sababu kubwa asiye na mtoto akiolewa na single father atajielekeza kumjali mtoto pia akiamini ndipo ulipo moyo wa mumewe, akitafutwa kupendwa zaidi. Kabla ya kuzaa ataamini kuwa kudumu kwake kwenye ndoa kuna husiana moja kwa moja na kumlea vema mtoto wa kambo.
 
Back
Top Bottom