Ukikubali utazoea tu,mbona mitume walio oa wake wengi,baba wa imani pia alikuwa na wake wawili.Sitaki ndoa za mitala
Ukikubali utazoea tu,mbona mitume walio oa wake wengi,baba wa imani pia alikuwa na wake wawili.Sitaki ndoa za mitala
Naona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.Anayeomba ndiyo chanzo cha kila kitu hakuna effects bila causes haijalishi effects zitakuwaje ila siku zote tunatakiwa kudeal na causes kwanza
Kudhalilika na akina nani??Ndio ukubali sasa kudhalilika
Naona unanyooka nao man to man..!
Hadi waelewe.
HayaNitakwambia.
Njoo huku,nimekaa nakusubiri wewe ujue ?Haya
Usinilazimishe nifuate imani yako nafuata imani yangu ambayo haitambui ndoa ya wake wengi wala waume wengi inatambua ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tuUkikubali utazoea tu,mbona mitume walio oa wake wengi,baba wa imani pia alikuwa na wake wawili.
Haya ni makubaliano tu,wala hatulazimishani.Usinilazimishe nifuate imani yako nafuata imani yangu ambayo haitambui ndoa ya wake wengi wala waume wengi inatambua ndoa ya mke mmoja na mume mmoja tu
Naona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.
Kwahiyo lawama zinakuja kwetu sio ? Sisi waombaji au ?
Sawa.Elewa hoja nimesema wote mwanaume na mwanamke wanatakiwa kulaumiwa kwa dhambi ya uzinzi na uasherati
Halafu nimekwambia mimi sifuati mitazamo ya jamii iliyojaa maovu ambayo imezoea kumhukumu mwanamke kwa kila kitu mimi nafuata maandiko ya Mungu yanayohukumu kwa haki na yanayotambua kuwa dhambi ni dhambi tu haijalishi imetendwa na mwanaume au mwanamke
Njoo huku,nimekaa nakusubiri wewe ujue ?
Haya ni makubaliano tu,wala hatulazimishani.
Nifate huku.
Endelea kuniita labda nitaitikaSawa.
Ila nakuita,lakini huitikii.
Daah,naona huitiki kabisa.Endelea kuniita labda nitaitika
Huwaga wanazaa na Mbwa eti???Nashauri utumie nguvu NA juhudi hizi hizi ktk kufanya kampeni kubwa kabisa ya kufa NA kuona ktk kuwaelimisha wanawake wenzako NA wasichana ili wajitambue, wawe NA ufahamu wa kutosha kabisa kuhusiana na masuala ya ndoa, pamoja na kuheshimu miiko ya ndoa.Ukitilia mkazo zaidi juu ya umuhimu wa mwanamke kujitunza, kuwa na watoto wakati tu akiwa kwenye ndoa, KUACHA KABISA TABIA YA KUZAA WATOTO AKIWA NJE YA NDOA TENA BILA UTARATIBU WALA ANGO UNAOELEWEKA.
Kuzaa nje ya ndoa KWA mwanamke ni kitendo cha kujifedhehesha sana kupita kiasi, washauri wanawake wenzako NA wasichana kuwa wajitunze, wasizae nje ya ndoa, ili kuepuka fedheha itokanayo NA kudhalilishwa ktk jamii. Mjitunze ili mheshimike ktk maisha yenu, epukeni fedheha?!
Akikujibu NitagKwahiyo mwanaume anayeomba ngono hana makosa ila mwanamke anayekubali ngono ndiyo ana makosa siyo??
Sasa bila wanaume sisi kukomalia Kuomba mbunye kabla ya ndoa yangekuwepo haya????Ndugu wanaume suala la kuvumilia Genye lishatushinda mwisho wa siku ndo haya ya usingle mazaNaona umeamua kujitukana mwenyewe na kuwatukana wenzako.
Kwahiyo lawama zinakuja kwetu sio ? Sisi waombaji au ?
Uzi wenye wachangiaji wachache lakini msg buku jeroo
bila wanawake kuwakatalia wanaume yangekuwepo haya?Sasa bila wanaume sisi kukomalia Kuomba mbunye kabla ya ndoa yangekuwepo haya????Ndugu wanaume suala la kuvumilia Genye lishatushinda mwisho wa siku ndo haya ya usingle maza