Wakinamama wanaolea watoto bila baba (single mothers): Sababu, athari kwa mtoto, changamoto na mitazamo ya jamii

Ndio tumekuita kafiri.
Hivi unadhani Nani anakuogopa.
Ukiona wameondoka ujue Ni kwa interest zao tu na ratiba zao ...usije ukadhani watu wanakuogopa.
Kwa kujua hilo ndio maana wengine nimewapa miaka kumi na wengine miaka mia na wengine uhai wao wote.

Hapo unasemaje ?
 
Kwa kujua hilo ndio maana wengine nimewapa miaka kumi na wengine miaka mia na wengine uhai wao wote.

Hapo unasemaje ?
Shwari tu...haibadili uhalisia kuwa nyie Ni makafiri..na jamaa wenu mnayemsubiri aliyewahi viwanja kuzimu huko.
 
Kwenye mijadala huwa tunapewa dakika za kuchangi au kujibu hoja.... katika muktadha huo mkuu nadhani dakika zetu zimekwisha na hivyo suala hili tuiachie meza kuu na washiriki walioufuatilia kwa kina mjadala kati yangu na wewe wataamua kipi ni kipi. Nashukuru kwa ushirikiano wako na mchango wako mkuu.
 
Kwani kuna ubaya gani unapojadili effects ukaweka na causes?? Ndiyo maana hata kwenye mitihani unakuta mwalimu anakunyima marks kwa sababu wewe umeulizwa effects na ukaongelea effects tu haujataka hata kuainisha causes za hicho kitu hadi kikaleta hizo effects huo ni uvivu wa kufikiri yaani unafanya vitu kama robot aise watu wengine sijui mlienda shule kukuwa tu??
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.

Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
 
Shwari tu...haibadili uhalisia kuwa nyie Ni makafiri..na jamaa wenu mnayemsubiri aliyewahi viwanja kuzimu huko.
Nacheka sana,kwa jinsi nilivyokuwa mtu mbaya katika haya mambo ya wanawake,wewe utakuwa tu mke wa tatu.
 
Wewe siyo single father ila mimi ni single mother eti?? Ajabu kweli na sijasema ukubali hoja zangu ila nimeshangazwa na jinsi ambavyo umekuja na hoja dhaifu kama hiyo yaani mtu unaambiwa ukweli unakimbilia kusema eti mwanamke hatakiwi kujilinganisha na mwanaume eti kwa sababu tu mwanamke ndiye anayepata madhara na siyo mwanaume?? The most lame argument I've come across today!! Hivi kwanini kila mkiguswa tu mnakuja na hizi blah blah kwanini hata siku moja msije na hoja basi jamani??
Nisipokubali mahubiri yako ninakuwa STUPID, eti? Naona umepanic sasa. Labda tu nikukumbushe kuwa mimi ni mwanaume na sijawahi kutelekeza mtoto, sasa jiulize ulikosea wapi mpaka ukawa singo maza kuliko kuja kutukana watu mitandaoni...unaheeeema!
 
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.

Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
Mbona unalazimisha afungue Uzi wakati hakuna ulazima wa kufungua maana hayo yote yanaingia kwenye huu uzi
 
Ndio njia yako ya kuchomoka hapa ulipobananishwa!??
Hehehehe,pole
Hakuna wa kunibananisha hata kwa bahati mbaya,kila mmoja nimempa kazi yake,wakija watakuja na majibu.

Haya,poa tuendelee kama umenibananisha. Niambie umenibananisha wapi bibie nijinasue.
 
Fungua uzi ukionesha causes and effects za single motherhood.

Watu kama nyie mwalimu wangu Panthaleo alikuwaga anawapenda sana maana mlikuwa mnapunguzia kazi ya kusaisha.. Yeye ilikuwa ni kupiga limstari tu.
Kwa hiyo umeona ukimtahja huyo panthaleo sijui panthakesho utamuogopesha huyu dada!?
Panthaleo anaingiaje hapa?
 
Ndiyo ninyi ambao badala ya kujadili mada mnalazimisha kuhusisha hoja watu wanazoziandika humu na maisha yao halisi najua unatamani sana ningekuwa single mother

Na ninajua nikikwambia nimeolewa utakataa ila hilo halibadilishi ukweli hakuna aliyesema ukamchape diamond ila umuonye kama unavyowaonya hao wanawake maana hata nao hauwezi kuwachapa vile vile
Kichwa chako KITUPU sana. Kuna sehemu hapo nimesema kuwa anavyofanya ni sahihi? Sijui umelelewa namna gani! Hapo namaanisha kuwa huyo mtu si mfano mzuri, kwa hiyo ni jukumu lako kumuepuka. Au ulitakaje, nikamchape?

Simshangai aliye kuacha na kitoto. Una shida nyingi sana kichwani
 
Back
Top Bottom