Kwahiyo unataka kuoa single mama?

Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2010
Messages
10,484
Points
2,000
Nyenyere

Nyenyere

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2010
10,484 2,000
Basi fahamu haya:

Mwanamke aliyezaa huhamishia mapenzi kwa mwanaye. Hali huwa hivyo hata ndani ya ndoa, kiasi kwamba ndoa nyingi hupoteza mvuto pale tu mtoto anapozaliwa. Kwako wewe kijana unayetaka kujitwika mabomu uoe single mother.

Mwanamke anatakiwa aolewe katika ubikira wake ili mwanamume kujisikia kwamba kweli amepata mtu mwaminifu. Lakini kama hata hilo halikutosha kukushawishi, usithubutu kuoa mwanamke ambaye ni single mama, labda kama una uvumilivu usiopimika. Yako mambo kadhaa ambayo yanamfanya single mama asiwe sehemu ya mtarajiwa wa ndoa.

1. Single mama wengi ni matokeo ya uzinzi ama uasherati. Binti anapojiingiza kwenye mapenzi kabla ya ndoa kwa kigezo cha kutafuta kuolewa ni dalili mbaya hata kama ataolewa kweli. Hii inaonyesha kuwa ana udhaifu kwenye eneo la ndoa kiasi kwamba yuko tayari kuutumia mwili wake kama rushwa ili kufanikisha ndoa. Hii haitofautiani na mwanamke aliye ndani ama nje ya ndoa kutumia tigo yake kama kishawishi cha kumshika mwanamume. Unapotumia ngono kama sehemu ya ushawishi, ama kama silaha ya kumteka mwanamume ujue kwamba unaondoa thamani yako na kuingia kwenye kundi la makahaba. Ni kweli uchi wa mwanamke ndio silaha yake kwenye mahusiano, lakini si kwa kuigawa hovyo, bali kwa kuwanyima wanaoitamani ili apatikane mwenye nia thabiti ya ndoa.

Inapotokea binti kajiingiza kwenye mapenzi mpaka kupata mimba, tayari keshapata muunganiko mwingine na mwanamume aliyempa mimba hiyo, tayari wameunganishwa na mtoto huyo, ingawa bado mwanamume aliona huyu mwanamke hafai kuwa mke, alikiwa anamtumia tu kukidhi kiu yake mpaka pale atakapompata mtu sahihi. Sasa wewe ni nani hata ukajiingize kuoa mwanamke wa aina hii?

2. Single mama hawezi kukupenda kwa jinsi ulivyo, bali kutakuwa na sharti la mtoto. Kwamba iwapo utamtunza mtoto kama single mama atakavyo basi utapewa mapenzi matamu. Ni ukweli usiopingika kuwa mwanamke apatapo mtoto mapenzi yote huhamia huko, hivyo wewe jiandae kuwa chaguo la pili kwake. Haya sio mapenzi na ujue tu kuwa huwezi kuwa na amani kamwe.

3. Mtoto si wako. Hata kama utampenda na kumhudumia kwa namna yoyote ile, ukweli utabaki kuwa huyo si mwanao, sio damu yako. Ni kwamba umejitwika jukumu la kumhudumia mtoto wa mwanaume mwenzako ambaye ndiye ataendelea kutambulika kama baba mzazi. Siku akikua ataanza kumtafuta aliyechangia mbegu mpaka akaja dunuani, sio aliyechangia ugali. Ikitokea mmeachana na single mama, ujue ndio mwisho wa kuonana na mwanao mpenzi uliyekuwa ukimtunza kwa nguvu zako zote.

4. Utatumia nguvu kubwa kulilinda penzi. Ili ujihakikishie kuwa single mama anatulizana na wewe, utahitaji kuishi maisha ya kumfurahisha yeye, kumpa atakacho ili asije akamkumbuka mume wake wa kwanza. Namna pekee ya kumfurahisha ni kuhakikisha mtoto wa mwanamume mwenzako anapata maatunzo mazuri, nguo nzuri, elimu nzuri n.k. Utalazimika kuwa karibu naye kuliko hata baba mzazi anavyokuwa, yote haya ni kutafuta kumfurahisha single mama. Utaishi maisha ya kujipendekeza, yenye stress nyingi.

5. Huna sauti juu ya mtoto. Hata kama utataka umchujue mtoto huyu kuwa mwanao kamili, umpe malezi halisi ya mzazi, kuna mahali utakwama tu. Huwezi kumwadabisha kwa mikono miwili, lazima mmoja utakuwa nyuma na mwingine utakuwa mbele. Mara zote utakaa ukijiuliza, labda nikimfanya hivi mama yake atadhani namchukia, jamii nayo itanifikiria vingine. Utajikuta wewe mwenyewe unajiwekea mipaka hata kabla pilato hajakuhukumu kwa kuvuka mstari!! Pigo kubwa zaidi ni pale single mama atakapokutamkia kuwa unamtendea hivyo kwa sababu mtoto sio wako. Hapo utabaki kama mjinga fulani aliyepigwa bumbuwazi asijue aukabili vipi ukweli huu mchungu.

6. Chanzo cha vurugu kwenye familia. Hata ikitokea mmezaa watoto wengine, bado mapenzi hayawezi kuwa sawa. Single mama wana kawaida ya kuwaandalia mazingira watoto wa baba wengine tofauti hao wa baba waliye naye wakati huo. Hufanya hivyo kwa hofu kuwa watoto hawa mara nyingi hawana urrithi kwa baba aliyewalea. Hii huleta mgawanyiko mkubwa kwenye familia kiasi cha watoto wenyewe kuchukiana. Hata ndugu wa mwanamume hawawezi kamwe kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya familia kwa sabubu sio damu yao na anao ukoo mwingine kabisa. Hawezi kujitambulisha kwa jina la baba wa kambo kwa sabubu hana muunganiko wowote naye. Hata ikitokea baba mlezi amekufa, ukoo wake hauwezi kumhesabu mtoto huyu kama sehemu ya urithi. Tunajifunza kwa wanyama wengine pia kama simba, ambapo anapoinuka dume mwingine kuongoza majike, huua watoto wote àliowakuta kisha huanza upya kusaka watoto wake. Sasa sisi hatuwezi kuua, bali tunaweza kuepuka taabu hii kwa kutokuoa mwanamke mwenye watoto.

7. Mume wa kwanza ana nafasi ya kuendelea kumtafuna single mama atakavyo. Kwa kawaida mwanamke akishazaa na mwanamume, ule muunganiko huwa haufi. Tayari ni mzazi mwenza na hana cha khmficha tena, hivyo kupasha kiporo ni jambo la kawaida tu. Pia mama atataka mtoto amjue baba yake halisi kwa ajili ya siku zijazo, hivyo hawezi kujiweka mbali na mzazi mwenzake. Sasa mzazi mwenza ni juu yake kuamua kuendelea kumla ama la, kwani hakuna kutongozana tena, ni kupanga miadi tu na kukutana kuserebuka. Kidume wewe utageuzwa baba mlishi huku haki nyingine zote zikielekezwa kwa mwenye mwanaye.

Ukweli ni kuwa single mama anapopata mume, focus yake sio ndoa bali ni malezi ya mwanaye. Anataka uhakika tu kuwa mwanae ataishi na atapata matunzo bora ili siku za usoni aje kumsaidia yeye.

Ewe kijana, usijiingize kwenye mtego utakaoharibu maisha yako. Tafuta bikira atakayefunga kiapo nawe, achana na wanawake waliozaa hovyo kwa kukosa mwelekeo.

Hapa sijazungumza juu ya walioolewa kisha waume zao kufariki, kwani kwao hawa yako mambo mengi pia nyuma ya pazia ya kuchunguza.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,559
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,559 2,000
Usiniambie nichukulie.
Nambie kitu halisi..nianze kuchukulia mfano na wakati unaweza ongea bila mfano.
Tafuta Kama hukumbuki..nasubiri majibu.
Nimeweka hivyo kutokana na msingi wengu ni kuwa umri ulikuwa mkubwa ndio maana mnasema alibaka.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,559
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,559 2,000
Usiniambie nichukulie.
Nambie kitu halisi..nianze kuchukulia mfano na wakati unaweza ongea bila mfano.
Tafuta Kama hukumbuki..nasubiri majibu.

Halafu mbona umekazania ubakaji,,wapi nimekuuliza kuhusu ubakaji!?
Mbona unajihami hivyo Zurri?
Wewe si uliniuliza kwamba kama kweli mtume amebaka au la ?!

Ushasahau mara hii ?
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
4,003
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
4,003 2,000
Nimeweka hivyo kutokana na msingi wengu ni kuwa umri ulikuwa mkubwa ndio maana mnasema alibaka.
Mimi wapi nimesema alimbaka?
Mbona unanipa majibu ya maswali nisiyoyajua.
Nasubiri umri halisi ,,,hujanijibu bado,naona unazunguuka
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
4,003
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
4,003 2,000
Wewe si uliniuliza kwamba kama kweli mtume amebaka au la ?!

Ushasahau mara hii ?
Hilo si umelijibu na nikakuuliza swali jingine!??
Mbona unang'ang'ania kujibu swali lile like ulilojibu na wakati umeulizwa swali lingine..
Ni Kama mtihan ,,wewe swali la kwanza Hadi la mwisho unajibu jibu moja kwa maswali yote.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
4,003
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
4,003 2,000
Wamemchokoza kibenten wako,na mimi siwaachi hawa mpaka wakimbie.

Nimewaambia hivi,huwa siitiki mpaka niitwe,wameniita nimeitika.
Ndio tumekuita kafiri.
Hivi unadhani Nani anakuogopa.
Ukiona wameondoka ujue Ni kwa interest zao tu na ratiba zao ...usije ukadhani watu wanakuogopa.
 
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
7,622
Points
2,000
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
7,622 2,000
Splendid
Nikisema nguo hii huwa wanavaa watu kama "sisi" ninamaanisha kwamba "mmoja wapo" wa wanaovaa nguo kama hii ni "Mimi" lakini sipo pekee yangu ..kuna wengine wenye hadhi kama niliyonayo mimi.

Bado haujanishawishi. MUNGU mmoja je "sisi " inatoka wapi? Msikaririshwe.
 
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
7,622
Points
2,000
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
7,622 2,000
Oohh kwahiyo kumbe shida ni kuonekana na watu na siyo kuonekana na Mungu?? Na hata hivyo hao watu ni kina nani hadi mimi niogope kwamba watanionaje??
Wao ni mazwazwa ila wewe utakae ombwa na kutoa ndio utaonekana zwazwa zaidi kwa kukubali kwako.

Kwa maana hiyo uzwauzwa unaonekana sana kwenu,kwa kukubali kushawishiwa.
 
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined
Aug 19, 2018
Messages
4,003
Points
2,000
Saint anne

Saint anne

JF-Expert Member
Joined Aug 19, 2018
4,003 2,000
Sasa hizo akili za chini kwanza hazipo,mkiambiwa mazwazwa mnalia lia,kuna akili za chini tangu lini ? Hasemi maneno haya isipokuwa mtu asie jua akili ni nini ?!
Unajua akili za chini Ni zipi!?
Wewe ita majina yote unayoweza..Wala haututishi bwana.
 
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2018
Messages
9,559
Points
2,000
Z

Zurri

JF-Expert Member
Joined Apr 6, 2018
9,559 2,000
Oohh kwahiyo kumbe shida ni kuonekana na watu na siyo kuonekana na Mungu?? Na hata hivyo hao watu ni kina nani hadi mimi niogope kwamba watanionaje??
Sasa suala la Mola si liko wazi bibie kwamba jambl hilo ni baya na anatuona ?
 
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2019
Messages
7,622
Points
2,000
Karma

Karma

JF-Expert Member
Joined May 20, 2019
7,622 2,000
kabisa yaani ila hao wazee wa reliable sources hawawezi kulijua hili
Na kwenye kufuatilia taarifa za mtu , mtu anaweza akajitungia tuu na wewe ukaona umewin kupata taarifa zake.
 

Forum statistics

Threads 1,336,420
Members 512,614
Posts 32,538,869
Top