Kwahiyo, tatizo la kuchanganya sauti r na l katika uandishi tumenyoosha mikono?

Mtafiti77

JF-Expert Member
Oct 31, 2011
1,841
2,270
Suala hili limeshajadiliwa mno na wadau mbalimbali, hivyo, mimi ninapendekeza sauti hizi zipitishwe rasmi kuwa kitu kimoja. Yani, watumiaji wachague kile wanachoona kinawafaa.

Utafiti wangu mdogo unaonesha hata walimu, wapo wengi wana tatizo hili.
Kiambatisho kwenye bango hili ni ushahidi wa kukua kwa tatizo hili.

Hebu fikiria hii ni taasisi kubwa kabisa inafanya hivi,watoto na wageni wataweza kutofautisha sauti hizi kweli? Tuzipitishe tu ziwe ndugu.

Ninawasilisha

inbound3199824488706094612.jpg
 
Kiukweli hilo neno la "usajiri" "usajili" wengi wanaweza kuchemka.

Sound yake iko kama r hivi, kwa hiyo ukiiandika unavyojisikia utakuta unaweka r.

All in all, NHIF hawakutakiwa kufanya kosa la namna hiyo.
 
Kiswahili kigumu aiseee!! Must ya Corona inaaitwa BARAKOA kwa kiswahili,aaaaaarh
 
Nawachukia watu wabaochanganya hivyo. Ni waking a tu. Kuna mwalimu fulani naye mpumbavu sana. Huwa anakosea maneno haya.
Latiba=ratiba
Player=prayer
Mpila=mpira
Nguluwe= nguruwe
Engrish=English
Manyala=manyara
Palish=parish
Instaglam= Instagram
Mwalimu mzima??? Mpumbavu mkubwa wee. Toka zako hapa kafie mbali, mbwa nini wewe? Sasa wanafunzi wanajifunza nini kwako. Nguruwe wewe! Kichwa kama laptop, mweusi kama smartphone!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa hapa utaonekana we nae ni mpuuzi. Hiyo mineno haikuwa hata na maana ya kuiweka
 
Magufuri

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Reo mmetuamuria sio??
rakini inahitaji ujasili kujua r na l zinakaa wapi akiyanani
 
Sasa hapa utaonekana we nae ni mpuuzi. Hiyo mineno haikuwa hata na maana ya kuiweka
Wewe upuuzi wako ndio umefika kileleni kabisa.
Maneno hauwezi kuyaita MINENO
Ni bora hata anayechanganya r na l kuliko unavyochanganya wewe
 
Nawachukia watu wabaochanganya hivyo. Ni waking a tu. Kuna mwalimu fulani naye mpumbavu sana. Huwa anakosea maneno haya.
Latiba=ratiba
Player=prayer
Mpila=mpira
Nguluwe= nguruwe
Engrish=English
Manyala=manyara
Palish=parish
Instaglam= Instagram
Mwalimu mzima??? Mpumbavu mkubwa wee. Toka zako hapa kafie mbali, mbwa nini wewe? Sasa wanafunzi wanajifunza nini kwako. Nguruwe wewe! Kichwa kama laptop, mweusi kama smartphone!

Sent using Jamii Forums mobile app
hakuna haja ya kuwachukia, ni athari ya lugha mama tu hiyo
 
Back
Top Bottom