Kwahivyo kuvaa Visit Tanzania hakuonekani kuitangaza Nchi?

Qatif

JF-Expert Member
Dec 16, 2014
379
859
Hivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.

Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
 
Robo fainali ni hatua ndogo ambayo hata ubingwa huwezi kuhesabiwa, fainal ni hatua ya juu ya mashindano timu mojawapo Kati ya hizo zinaweza kuchukua kombe. Sasa robo fainal nacho ni kitu chakushangaza?, Hivi mashabiki wa Simba mmekuwa wapuuzi hivi🙄
 
Hivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.

Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
Kafungue kesi mahakani 🙄
 
😅🤣😅🤣😅🤣 watoto wa mwisho kwa kulalama..!!! Fikeni fainali mpate mnayoyalilia..!!!
 
Hivi kuipa heshima Taifa la Tanzania ni kurudi na medani ya CAFCC tu? kwamba hata waliofika robo fainali CAFCL kombe la wakubwa huku wakiwa Visit Tanzania hakuonekana kuitangaza na kuiletea heshima Taifa kweli.

Mbona hayakufanyia haya upande wa Simba SC, kuliko sasa tunayoshuhudia kwa Yanga, ruti za ndege hadi ligi za ndani na hafla Ikulu.
bob visit tanzania inaweza kuvaliwa hata na timu zote za ligi kuu,ila fainali inachezwa na timu mbili,TUMIA BRAIN
 
Timu zote za Tanzania ndo zinashiriki game za Kimataifa? Ndo umesema kitu hapo, kwani Simba wakati anavaa Visit Tanzania alikuwa kwenye ligi kuu bara? We Jike Dume.
 
Back
Top Bottom