KWAHILI LA LEO MH RAIS TUKAGUE MAKAMPUNI YOOTE NCHINI KAMA YAMESAJILIWA....NA BRELA

Pdidy

JF-Expert Member
Nov 22, 2007
56,668
30,515
Wakati mwingine hujutiii yanayotokea unamshukuru Allah kukujuzs mini yaliokuwa yakitokea nje ya pazia

Tumeonaa KAMPUNI kubwa yamadini inafanyakazi bila kuwa reg NCHINI....

Atuoni mda muafaka kukagua KAMPUNI zote kama zimesajiliwa na brela tusisubiri kuona tumeumizwa ndipo tulie na kuanzs kushtuka tens...

MUNGU mbariki RAISI WETU NA VIONGOZI WOTE

IBARIKI TANZANIA NA WATU WAKE..

AMEN
 
Mi naona mapicha picha tu serikali inajitekenya alf inajicheka yenyew
hapo kuna watu hawataachwa salama
 
[HASHTAG]#RipotiYaKwanza[/HASHTAG]

Lissu: Tusihangaike na udongo, tuhangaike na mikataba na sheria mbovu za madini zilizotufikisha hapa. Tuangalie tulipojikwaa, tusiangalie tulipoangukia.

CCM: Lissu analinda wezi. Mikataba na sheria za madini hazina shida. Shida ipo kwenye udongo wenye makinikia. Tumeibiwa sana kwenye udongo. Hatukubali.

[HASHTAG]#RipotiYaPili[/HASHTAG]

JPM: Tumelogwa na nani? Watanzania tumeibiwa sana. Naagiza mikataba yote na sheria zote za madini zipitiwe upya.

CCM: Rais wetu mzalendo. Amefanya kazi kubwa sana. Tumuombee.!!

[HASHTAG]#MyTake[/HASHTAG]:
Lugha ileile aliyoongea Lissu akaambiwa amehongwa, ndiyo aliyoongea JPM leo akaitwa mzalendo. Akili za CCM kama kifurushi cha jaza ujazwe .!
 
Back
Top Bottom