Baada ya channels za Azam, ten, clouds na ITV kurudishwa na Azam Tv sasa imebidi kuwapa Star times kwaheri ya kuonana.
Binafsi nimeteseka sana kuwafuatilia kila inapotokea tatizo lakini huduma yao imekuwa hairidhishi. Kumbe hakuna kitu kibaya kama ukiritimba. Niwashukuru sana Azam tv na kwaherini ya kuonana star times
Kweli mmetutesa.