Kwaherini ndugu zangu.....Mola akijaalia tutaonana!

Ikibidi hata kwa Binocular!

You Can Say That Again! Hapa nimeshalonga na meneja wa Zero pub aweke stock ya kutosha.... Manake jogoo awike asiwike kesho ni sikukuu ya IDI!
 
asprin mwezi unautafuta mchana? hapo kama itabidi utumie binocular ya rangi nyeusi hivi! :confused2:

Ishu ni mwezi kuonekana leo. Iwe mchana au usiku, jioni au alfajiri, adhuhuri au alasiri. Lazima kieleweke....TAKUKURU naomba mnilinde tafadhali!
 
You Can Say That Again! Hapa nimeshalonga na meneja wa Zero pub aweke stock ya kutosha.... Manake jogoo awike asiwike kesho ni sikukuu ya IDI!

teh.....teh.......teh.......usisahau,kuwakumbusha wakeep change!!!!!!!!!!
 
Luv, hayo magwanda mapya unayoongelea, mengine yanafuliwa kila siku na yanaonekana mapya tu, sasa sijui utajuaje hili ni jipya ama la zamani ukichukulia kuwa hayaweki alama kama yametumika labda uwe umepita msitu wenye miba:confused2::A S 8:
:confused2::confused2::confused2::noidea::noidea::noidea::help::help::help::peep::peep::peep::hurt:
 
Ha ha ha... Asprin sema wewe hutaki kwenda kazini kesho na kesho kutwa... LOL...

Siyo kwmba sitaki. Hii ni Labour Law kuwa siku za public holidays watumikishwa kazi wanakuwa mapumziko!! Eid el Fitr ni PUBLIC HOLIDAY kwa mujibu wa katiba ja Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa hisani ya watu wa marekani.:welcome:
 
:confused2::confused2::confused2::noidea::noidea::noidea::help::help::help::peep::peep::peep::hurt:

:plane::plane::plane::A S-heart-2::bathbaby::bathbaby::thumb:halafu wewe unahotaji :ban::ban:kama ya Acid hapa
 
fidel ................ee nimekusudia kila kitu kipya, mpaka wa kwenda nae bar awe mpya :confused2:
 
:plane::plane::plane::A S-heart-2::bathbaby::bathbaby::thumb:halafu wewe unahotaji :ban::ban:kama ya Acid hapa
Hhahahaha! hommie bana! naona ulikuwa unafanya lojistiksi za:A S-heart-2: mi nakupa :thumb: badaye ntaku:cell: unipe feedback. Kwa sasa ngoja ni :tape2: kukwepa hii kitu:ban: asee. kwa sasa ngoja nirudi :focus:
 
Kwani umeharibu wapi Hommie lol:becky::becky::becky:
name calling hommie... "Mwenye nyumba" ni name calling kwa mujibu wa sheria za JF kwa msaada wa watu wa Obama!
 
Ishu ni mwezi kuonekana leo. Iwe mchana au usiku, jioni au alfajiri, adhuhuri au alasiri. Lazima kieleweke....TAKUKURU naomba mnilinde tafadhali!

Binamu huu mwezi usipoandama leo nakata rufaa naona umedhibitisha !!!
 
Back
Top Bottom