Kwaherini Chit-Chat...

Mphamvu

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
10,702
3,288
...natamani nilie lakini ndo vile machozi hayako karibu.
Nitawakosa kwa siku hizi kadhaa ambazo sitakuwa hewani, kwa sababu zilizo nje ya uwezo wangu.
Mphamvu can't stand this kind of goodbye.
To my dream, Cantalisia, I hope you know what I am about to say.
To my fellas, BAGAH, gambachovu, Mtazamaji Mwali, Erickb52, BADILI TABIA, Preta, Kongosho, TANMO, King'asti, Mamndenyi, Erotica ndetichia, Katavi, Bishanga, russianroulette n.k n.k... Kama nimekusahau ukireply hii post usisite kujiongeza (no offense,)
This is for you,
 
Last edited by a moderator:
nitakukosa sana arifu...salamu kwa wote huko uendako Mphamvu:shock:
 
Last edited by a moderator:
please don't do this to me Mphamvu......kama basi nilikosea kukwambia uchuje kabichi....am sorry....stay please.....
 
Last edited by a moderator:
I will miss you Mphamvu !
Ila usiuweke sana huko unakokwenda.. Na utukumbuke japo kwa salamu tu!
 
Last edited by a moderator:
Dah!! Kwa heri mwaya Mphamvu,japo nia yako sio nzuri kwa ndoa yangu,ntakumiss sana lol!
Wasalimie uendako na mungu akupeleke na kukurudisha salama swaiba wangu!!
 
Last edited by a moderator:
Kamanda :wave:. ukurudi naamini tutapata new ideas, challenges, etc.etc. Pamoja sana
 
Oooh no. Cantalisia una kesi ya kujibu hapa.. Umemfaya nini Mphamvu mpaka kabwaga manyanga kiasi hiki? Lol Mkuu all the Best huko uendako. Ingependeza kama ungetuachia msaidizi ili tubaki naye wakati ambao haupo..
 
Wajameni Mphamvu ndio mambo gani tena haya? Utarudi lini? baki wewe.
 
Last edited by a moderator:
Oooh no. Cantalisia una kesi ya kujibu hapa.. Umemfaya nini Mphamvu mpaka kabwaga manyanga kiasi hiki? Lol Mkuu all the Best huko uendako. Ingependeza kama ungetuachia msaidizi ili tubaki naye wakati ambao haupo..

TANMO mie wala sihusiki hope umeona kaniaga fresh tu,nimeckia anaenda kuuza mashamba yake huko bush ili aje ampindue mme wangu Rejao kitu ambacho itabaki kua ndoto na nimemkanya hataki kuelewa!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom