Kwaheri Paul Makonda, utumishi wa umma utaendelea kuusoma kwenye magazeti

Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini

Wengi walienda mbali zaidi kwa kupendekeza mpaka Rais Samia Ampangie mkoa upi huku mkoa wa Dar es salaam ukiwa na namba moja kwamba kijana huyo aliupatia sana hivyo arudishiwe

Mambo yamekwenda ndivyo sivyo, Mama ameamua kurudi ccm asilia na hapa wale waliokuwa na kibri kwa sababu ya awamu ya tano hawana nafasi tena

Kwa sasa Paul Makonda haamini anachokiona, Rais amemsahau mazima na utumishi wa umma ataishia kuusoma kwenye gazeti la Uhuru na Tanzanite
Makonda ni mpumbavu. Aliamua kwenda kugombea ubunge wa kijimbo na kuacha nchi
 
Hello JF

Watu wengi walikuwa wakijaribu kufikiria kwamba mama atamkumbuka aliyewahi kuwa mkuu wa mkoa wa Dar es salaam bwana Paul Makonda kwa kumpa uteuzi wa ukuu wa mkoa wowote ule hapa nchini

Wengi walienda mbali zaidi kwa kupendekeza mpaka Rais Samia Ampangie mkoa upi huku mkoa wa Dar es salaam ukiwa na namba moja kwamba kijana huyo aliupatia sana hivyo arudishiwe

Mambo yamekwenda ndivyo sivyo, Mama ameamua kurudi ccm asilia na hapa wale waliokuwa na kibri kwa sababu ya awamu ya tano hawana nafasi tena

Kwa sasa Paul Makonda haamini anachokiona, Rais amemsahau mazima na utumishi wa umma ataishia kuusoma kwenye gazeti la Uhuru na Tanzanite
Huyo ni bilionea mdau
 
Makonda yupi? huyu anayekula meza moja na mama samia?

Huyu kijana tajiri?

acheni ujinga, aliyefanya kosa la kumpa uongozi makonda ni JK...marehemu akamtumia

Makonda sio wa utumishi wa umma, tafuta taarifa

Mjini pana mengi, watu wanaogelea hela wewe unataka warudi kwenye public?

chuki za bluetooth hizi, wewe binafsi kakukosea nini?
Bro ulipotelea wapi
 
Mwenzio tozo hazimuhusu. Anafunga hesabu daily, weekly, monthly kupitia wholesale chemist, apartments na hoteli
Exactly!yupo sana tu anaonekana pale horizon ..anakuja anapaki range yake nyeupe pale service road anafanya yake anachomoka
Anakula tu maisha

Ova
 
Na bado yupo utumishi wa umma, wengi hawajui hili. Kapewa kitengo
 
Back
Top Bottom