Kwaheri mwalimu .....kwaheriii tutaonana keshooh! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwaheri mwalimu .....kwaheriii tutaonana keshooh!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kilimasera, Mar 16, 2010.

 1. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Hii..." Saaa..imefikaaa..ya kwenda nyambani....mama amepikaaa...wali na nyama....Saa imefika ya kwenda nyumbani Mama amepikaaa wali na nyama.......Kwaheri mwalimu .....kwaheriii...tutaonana keshooooooooooo..."basi hapo ni Mbio mtindo mmoja madarasa ya udongo...basi wengine tunaruka madirishani.....hapo jumatatu lakini SHATI halitamaniki...daaaah...aiseee...nakumbuka mbali..mno....daaaah..

  Mabata madogo madogo yanaogelea, yanaogelea ktk shamba nzuri la bustani.............
  Hesabu mama ohhh hesabu, hesabu ninakupenda ahhhh hakika.....................

  SHAIRI LA SADIKI NA SIKIRI
  Sikiri mimi masikini
  Uvivu wangu nyumbani
  Ukiwa huu wa njiani
  Nakufa hapa kwa nini?

  KAMA MNATAKA MALI
  Karudi baba mmoja, toka safari ya mbali
  Kavimba yote mapaja, na kutetemeka mwili
  Watoto wake wakaja, ili kumtaka hali
  Wakataka na kauli iwafae maishani

  Akatamka mgonjwa, ninaumwa kweli kweli
  Hata kama nikichanjwa, haitoki homa kali
  Roho naona yachinjwa, Kifo kimenikabili
  Kama mnataka mali, mtayapata shambani
  ........................................>

  Ninaye ndege mzuri, mrembo wa Kupendeza
  Rangi zake mashuhuri, ni nne nawaeleza
  Ndizo rangi za fahari, urembo kuutimiza
  Ndege huyu ndege gani, hapa Kwetu Tanzania?
  ..........................................>

  Twakukaribisha Mwenge
  Mgeni wetu uringe
  na wenyeji tukupambe
  Huku tukishangiria!

  Huyu ni Juma,
  Juma ana dada,
  Dada yake ni Roza,
  Juma anasema,
  Tia sukari Roza,
  Tia maziwa,
  Roza una kiu?
  Kunya chai Roza.

  Manenge na Mandawa--
  Tumbo niache....Nimuachie Manenge
  Tumbo niache....Nimuachie Mandawa
  Duh Enzi za mwalimu mambo yalikuwa mswano sana!
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2010
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Ah umenikumbusha mtakuja primary school na maweni primary ktk kitabu cha english, walipiga mechi za uhakika hahaa
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2010
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nuru yako yatangaza
  Kuwa umetoa giza
  Nuru umeieneza
  Hapa kwetu Tanzania

  Ona kwetu uwakavyo
  Nuru njema utoavyo
  Ona ushangiliwavyo
  Vigelegele sikia.

  Kwetu ukitoka mwenge
  Uendelee mahenge
  Ila mwakani upange
  Kuja kututembelea!
   
 4. mkonowapaka

  mkonowapaka JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 19, 2010
  Messages: 1,483
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  hahahah!!Musa and Neema sijui bado wapo hai...lol!! nahisi watakua wazee sana kule Kigoma enzi hizo Maweni Primary......
   
 5. Injinia

  Injinia JF-Expert Member

  #5
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 850
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mh, ingawa mimi sikuimba hizi nyimbo lakini nimefika hapo nikaona iko kitu haijakaa sawa :)

  Najua ni typo mkuu, lakini inanipa shida akilini naomba u-edit.

  Asubuhi njema
   
 6. FirstLady1

  FirstLady1 JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2010
  Joined: Jul 29, 2009
  Messages: 16,575
  Likes Received: 541
  Trophy Points: 280
  pamoja na ugumu wa maisha watu bado mnakumbukumbu sana nawapa tano!
   
 7. M

  Mkorintho JF-Expert Member

  #7
  Mar 16, 2010
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 353
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Musa na Neema walishine sana kwenye English text books enzi hizo na Mtakuja Pr. School yao
   
 8. Mentor

  Mentor JF-Expert Member

  #8
  Mar 16, 2010
  Joined: Oct 14, 2008
  Messages: 18,657
  Likes Received: 8,208
  Trophy Points: 280
  Hesabu ni nzuri sana we X2
  Mwalimu nifundishe nipate kuelewa
  eeh mwalimu eeh mwalimu nifundishe!!

  Mkuu umenikumbusha mbali sana...pata senksi la pili!!!
   
 9. kilimasera

  kilimasera JF-Expert Member

  #9
  Mar 16, 2010
  Joined: Dec 2, 2009
  Messages: 3,073
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  are you sleeping........are you sleeping brother musa....brother musa......wake up early morning.............ding...........dong .............ding.............ding..........dong.........ding
   
 10. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #10
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Umesahau ubeti wa 3
  "Wewe umetoa chuki,
  tena umeleta haki,
  umejenga urafiki,
  mapendo yameenea!"
   
 11. M

  Msendekwa JF-Expert Member

  #11
  Sep 22, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 440
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sikiri alikuwa mtoto mvivu, mkaidi tena hana adabu. Baada ya kushindwa kutorokea Kigoma, haya ni majuto yake:
  "Sikiri mimi maskini,
  uvivu wangu nyumbani,
  ukiwa huu njiani,
  nakufa hapa kwa nini?"
  "Sadiki sasa ashiba,
  chakula kingi kwa baba,
  nirudi tena kwa baba,
  nakufa hapa kwa nini?"

  Sikiri alirudi nyumbani, alikuwa amechoka sana. Alipofika nyumbani, aliomba radhi, akawaambia baba na mama:
  "Naomba radhi nimekosa,
  nitakuwa mtoto mwema sasa,
  shambani tena sitakosa,
  baba na mama nisameheni"

  "Nitalima kama Sadiki,
  nitalima wala sichoki,
  na nyumbani tena sitoki,
  baba na mama nisameheni"

  Baba hakumpiga Sikiri, alimsamehe.
  Sikiri akabadili tabia yake, akawa anawasaidia wazee wake. Mama yake akamwambia: "Siku hizi wewe ni mtoto mwema kama Sadiki. Mtoto mtii hupendwa na wazee wake, tena hupendwa na watu wote kijijini. Endelea kuwa mtoto mwema.
   
 12. BHULULU

  BHULULU JF-Expert Member

  #12
  Sep 22, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 4,911
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  Mkuu umenikumbusha mbali sana huu wimbo nilikuwa naupenda sana
   
 13. C

  Chinga boy JF-Expert Member

  #13
  Sep 22, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 415
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Darasa la 3 na sungura sizitaki mbichi hizi
   
Loading...