juvenile davis
JF-Expert Member
- Apr 13, 2015
- 4,752
- 4,463
Habari waJamiiForums,
Ni kawaida yangu kukosoa mapungufu ya vyama vya upinzani, hadi imefikia hatua watu wangu wanaonijua na wanajua hadi namba yangu ya kadi ya CHADEMA wananiambia mi ni CCM
Lakini ukweli ni kwamba mi ni mwanaCHADEMA na sina mpango wa kuwa CCM, yaani it's better nikaachana na siasa kabisa.
Nirejee kwenye mada sasa. Hivi hawa wanaukawa wenzangu wa CUF kule zenji si washajizika jamani?
Hadi 2020 am sure maalimu alowadanganya wenzake wasusie uchaguzi yeye hatogombea uraisi na atakuwa ashasahaulika kwenye siasa(huamini subiri muda utakuambia).
Sasa najiuliza hivi 2020 watagombea kweli? CCM wana akili sana, sasa ikitokea CCM wakaamua kumuacha bwana Jecha asimamie uchaguzi wa 2020 vipi wenzangu CUF watakubali kweli?
Jibu ni hapana, na kama hapana means watasusa tena, na kama watakubali basi watakuwa ni wehu, huwezi ukamkataa Jecha 2015 halafu ukamkubali 2020.
Hii maana yake CUF kwa upande wa Zanzibar wameshajizika tayari, mengine yote ni maneno ya kutiana moyo tu