Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 125,735
- 239,356
Taarifa zimetapakaa kwenye magazeti na vyombo kadhaa vya habari kwamba lyatonga Mrema ameamua kwa hiyari yake kuondoa kesi ya kupinga ubunge wa Mbatia Mahakamani ,
Hili halikutokea kwa bahati mbaya , ni wazi Mrema au wapambe wake walisoma alama za nyakati kwamba atashindwa kesi na ataangukia pua , tunamshukuru kwa kuokoa muda
Kuanguka na kupotea kwa lyatonga kwenye siasa za Tanzania kumesababishwa na kuamka kwa wananchi na hasa vijana na kukataa wanasiasa walaghai wenye mrengo wa kuchumia matumbo yao ili siku zisogee , hili ni onyo kwa wanasiasa wa upinzani wanaotumika na ccm ili kuua upinzani nchini .
My Take - Laana ya usaliti ni mbaya sana na haina msamaha .
CC - John cheyo , magale shibuda , PM 7 .