Kwahakika Nimelimiss Jukwaa Hili -I Miss You Wapwaz na Binamuz

I missed you alot GS, i wish siku moja ningekuja kupata kuku wa chako ni chako

hebu niambie mbona hatuandamani na shida hii ya umeme ambayo ni kubwa kuliko umeya wa arusha?

MTM karibu sana Dom..

Hivi hamuwezi kuacha kujadili hayo masiasa angalau kidogo?mi yamenichosha ndio maana nikaja kwenye jukwaa letu pendwa MMU Lakini wewe unaleta masiasa na huku tena..Anyway tunatarajia kuwa na Maandamano/Opereshani Sangara hivi karibuni katika Mikoa ya Dodoma.Singida na Morogoro.Zoezi litaanza tarehe 5 August hapa Dodoma Mjini siku ambayo nitakuwa nasoma Wizara yangu ya Kazi na Ajira..

Kisses...
 
Back
Top Bottom