elmagnifico
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 8,260
- 9,704
Very simple ingia kwenye tovuti yoyote unayoiamini angalia exchange rates za tsh dhidi ya kwachawe ni mwanamazingaombwe?mbona unaona uhalisia ambao upo kwenye matumizi?je hiyo pesa ilipobadilishwa jamaa alipata huduma pungufu ya angeitumia hapa kwetu?kama alipata zaidi ina maana pesa yetu inavalue zaid.
but kama alifanya huduma pungufu zaidi ina maana pesa ya ZAMBIA iko na value zaidi.
sijui kama nakosea,mimi sio mchumi but kwa uelewa wangu huu mdogo.