Kwa yule aliyewahi kufanya Mtihani wa RPL (Recognition of Prior Leaning)

Ikimbu

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
301
32
Natafuta mtu aliyewahi kufanya mtihan wa RPL au anandugu yake alishawahi kufanya au rafiki yake. Mtihani wa kuingia chuo kikuu Bsc Education Geograph and Biology. Naomba tuwasiliane 0625757350. Very important naomba msaada wa maelekezo mtihan huwa unakuwaje formating aina ya maswali n.k.
 
Jamani member naombeni mnisaidie kwa alishawahi kufanya au rafiki, ndugu alishawah kufanya Uniunganishe.
 
Back
Top Bottom