Harakati za Hapa na Pale
New Member
- May 15, 2020
- 1
- 0
Habari wana JF,
Kwa yoyote alo apply nafasi za Tutorial Assistants zilizotolewa na SUA na amekuwa contacted kwa ajili ya Interview nakuomba/ nawaomba DM kwa ajili ya kupeana taarifa na info mbalimbali za Interview hiyo.
Discipline yoyote ile.
Sent from my iPhone using JamiiForums