Tz boy 4tino
JF-Expert Member
- Sep 14, 2014
- 1,598
- 1,815
Hizo ni hela nyingi sana acha kutudanganya… aisee.Mkuu hizo ni pesa nyingi sana ulitengeneza kwa muda gani na content zako zilihusu nini?
Je ulfuatilia kujuwa nini kilitokea?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hizo ni hela nyingi sana acha kutudanganya… aisee.Mkuu hizo ni pesa nyingi sana ulitengeneza kwa muda gani na content zako zilihusu nini?
Je ulfuatilia kujuwa nini kilitokea?
Ndio unaweza kutengeneza video zako za matangazo yako binafsi ukaweka kwenye contents za video zako na still video yako ikawa monetized na ads/matangazo ya GoogleHiivi unaweza kuwa na AdSense wkt huo huo ukachukua na kuweka ads za kawaida km boutiquea
Nilokuwa na pitia YouTube kuna channel kadhaa raia wa nchi zingine wanalalamika kuhusiana na kodi ambayo Marekani imepitisha ya 30% kwakuwa YouTube ni kampuni ya "kimarekani".
hivyo basi kuqnzia sasa YouTube channel creator watakuwa wanalazimika kulipa kiasi hiko cha kodi kwa asalimia hizo kutokana na mapato watakayopata kupitia monetization/adsense.
Je ni kweli na tayari watumiaji wameshaanza kuona mabadiliko ya makato?
Nawaza hapa itakuwaje?
YouTube wachukuwe percent zao 15%~(sina uhakika nimeshau)*
U.S Nao wakuktate 30% ya mapato
Na makato wakati wa kutoa huyo pesa .
Karibuni wadau mnalizungumziaje swala hili.
Je, unaweza kuanzisha YouTube channel na kui monetized kutengeneza pesa kwa kutegemea ads?
Je, bado ni biashara nzuri kwa sasa , ukizingatia inahitaji uwekezaji wakutosha katika bifaa vya production / knowledge na time?
MerciNdio unaweza kutengeneza video zako za matangazo yako binafsi ukaweka kwenye contents za video zako na still video yako ikawa monetized na ads/matangazo ya Google
Wataalamu wa masuala ya kodi watusaidie....U.S. tax requirements for YouTube earnings
Google may begin withholding U.S. taxes on earnings you generate from viewers in the U.S. as early as June 2021. Please submit your U.S. tax info in AdSense as soon as possible. If your tax info isn’t provided by May 31, 2021, Google may be required to deduct up to 24% of your total earnings worldwide. If you’re a creator in the U.S., you may have already submitted your tax info. Check your tax info in your AdSense account to be sure.
Google is required to collect tax info from creators in the YouTube Partner Program (YPP). If any tax deductions apply, Google will withhold taxes on YouTube earnings from viewers in the U.S. from ad views, YouTube Premium, Super Chat, Super Stickers, and Channel Memberships.
Why Google withholds U.S. taxes
Google has a responsibility under Chapter 3 of the U.S. Internal Revenue Code to collect tax info, withhold taxes, and report to the Internal Revenue Service (the U.S. tax authority, also known as the IRS) when a YPP creator on YouTube earns royalty revenue from viewers in the U.S. If you have earnings from viewers in the U.S., Google may begin deducting taxes (known as withholding) as early as June 2021.
Note: YouTube and Google can’t provide advice on tax issues. Consult a tax professional to better understand your tax situation.
Submitting tax info to Google
All monetizing creators on YouTube, regardless of their location in the world, are required to provide tax info. Please submit your tax info as soon as possible. If your tax info isn’t provided by May 31, 2021, Google may be required to deduct up to 24% of your total earnings worldwide.
You can follow the instructions below to submit your U.S. tax info to Google. Note that you may be asked to re-submit tax info every three years, and that only Latin characters may be used when submitting tax forms (due to requirements by the IRS); learn more here