kwa yeyotea anayefahamu kuhusu mitihani ya TOEFL UDSM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa yeyotea anayefahamu kuhusu mitihani ya TOEFL UDSM

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mtamanyali, Aug 17, 2012.

 1. mtamanyali

  mtamanyali JF-Expert Member

  #1
  Aug 17, 2012
  Joined: Dec 6, 2011
  Messages: 1,126
  Likes Received: 234
  Trophy Points: 160
  Wadau habari za Asubuhi na poleni na mihangaiko ya maisha ya kila siku,
  mwenzenu naombeni msaada kwa yeyote yule anayejua kuhusu mitihani ya TOEFL, nasikia inafanyika UDSM so nataka kujua ada yake bei gani? na pia kuna tetesi kuwa kwa waliosoma UDSM kunapunguzo la ada je wanapunguza kiasi gani?
  pi naomba mnisaidie kuhusu namna ambayo naweza kupata materials kwa ajili ya kujiaandaa na test. kwa yeyeote mwenye uwezo wa kunisaidia materials anaweza kunitumia kwa email mtamanyali@gmail.com.
  natanguliza shukrani zangu za dhati, Mbarikiwe.
   
Loading...