Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

Mkuu,
Inapotokea Hakimu ametoa hukumu ya kuegemea upande anaoutaka, bila kujali ushahidi uliotolewa na mahidi muhimu, na hata katika mwenendo wa kesi hakunakiri kabisa na au alinakiri kitu ambacho mashhihidi wangu hawakuongea hivyo.
Hukumu anaitoa kwamba nimeshindwa kesi, nina nini cha kufanya?
Records zinazopewa uzito ni kumbukumbu alizonazo hakimu, hivyo hata rufaa watasoma nukuu zake. Ni nafuu gani hapo?
Huyu mtoa mada sijui alipotelea wp?
 
Back
Top Bottom