Kwa yeyote mwenye shida ya sheria za kazi

Mkuu nashukuru kwa majibu mazuri.Tatizo muda huu haupo tena maana kuna mfuko flani wa jamii hutoa huduma za bure za matibabu kwa wanachama wake.wanakupa form upeleke kwa muajiri wako kuna mahali anatakiwa ajaze Mara tatu za mwisho yeye kukuingizia michango.nikampa form akanizungusha zungusha kwa kuwa tangia mwaka ulopita hajaingiza mchango.nimemsitiza sana zikawa ni kalenda .juma lilopita arinirudisha nyumban,jumamosi akatuma mesej niende Jana nikamuone kufika akanipa barua ya kuhudhuria kesho kikao cha nidhamu.makosa ni kutofuata ratiba za kazi na n.k.nafahamu kwa kuwa unajua m najifahamu unataka kuniondoa.sikatai kuondoka je ntapataje kifuta jasho
Hyo notification ya kwamba unaitwa KWENYE kikao cha kinidhamu ulipewa ndan ya muda gan? Je unatuhumiwa Kwa kosa gan? Na ulishaambiwa haki zako ndan ya kikao cha kindhamu?
 
Mkataba wa mwaka mmoja?
Ni mwaka mmoja.mkuu mchana wa Leo ni siku ya hiyo kikao unanishaurije kuhusiana na tuhumu anazonituhumu nizikane au nizikubal
Hyo notification ya kwamba unaitwa KWENYE kikao cha kinidhamu ulipewa ndan ya muda gan? Je unatuhumiwa Kwa kosa gan? Na ulishaambiwa haki zako ndan ya kikao cha kindhamu?
Mkuu naweza kuja pm
 
K
Nn hatima ya kikao hcho? Yan wameamua nn?
kikao mkuu kimeniacha sielewi nifanyanye yule Dada simfahamu japo nilimuuliza je we n nan we n hr akajibu ye anaitwa fulan n mwenyekit bos amemchagua ye awe mwenyekit WA kikao na amemchagua huyo meneja jina ambaye mzungu amemchezea akil amemuambia ye n gm wakat kitambulisho chake cha Kazi kinaonyesha ye ni waiter hajawah kumpa hata barua ya kumthibitishi a ye n gm LEO amesimama kama mlalamikaji wakat mlalamikaj n bos.niliwakataa hao watu awali huyo Dada akanilazimisha tuendelee na kikao
 
N vzr unitafut Kwa hy namba
 
Nitafute KWENYE namba zangu,,nikupe maelekezo kama kikao chako kilikuwa halali au batili,,Maan kuna maswar yapaswa nikuuliz
 
Mfano mfanyakazi umeshinda kesi cma kwa kuachishwakazi pasipokufuata taratibu na hakuna sanabu za msingi serikari ikakata rufaa HC ukashinda tena,lakini serikali haikulipi na sheria zinakataza kukamata mali za serikali kuu,utafanyaje ili ikulipe kwa wakati?
 
Je sheria inasemaje mwajili kumtuhumu mwajiriwa kwa kesi ua jinai na kumfukuza kazi pasipokumfikisha mahakamani?
 
Napenda kujua nini mtumishi afanye anapoachishwa kazi pasiposanabu za msingi na kutofuatwa taratibu hakupewa nauli wala stahiki zake zozote na mwajiri amekata rufaa HC?
 
Mfano mfanyakazi umeshinda kesi cma kwa kuachishwakazi pasipokufuata taratibu na hakuna sanabu za msingi serikari ikakata rufaa HC ukashinda tena,lakini serikali haikulipi na sheria zinakataza kukamata mali za serikali kuu,utafanyaje ili ikulipe kwa wakati?
Mkuu nashindwa kukushauri sababu theoretically kuna serekali kuu ila practically serekali kuu inaundwa na taasisi na idara mbalimbali ungesema moja kwa moja ni idara au taasisi ipi uliyoishinda na bado hawajakulipa sababu ki utendaji na kwa taratibu huwa zinatofautiana kwenye kutekeleza majukumu yake ikiwa ni pamoja na ulipaji wa madeni
 
Back
Top Bottom