Kwa yeyote anayeweza kunisaidia kupata display ya Tecno T1

Masterproud

JF-Expert Member
Sep 14, 2012
440
116
Wandugu simu yangu ya Tecno T1 inashida ya Display, jimejitahidi kuitafuta mitaa ya K/koo sijapata. Naomba yyt anayeweza kunisaidia kuipata nitashukuru sn. Nasubiri, wadau.
 
nenda tecno care/ castumer care msimbazi karibu na kitua cha polis msimbazi, zinapopakia abr gari za mbezi kuna ofis yao utaiona hapi, utapata
 
Back
Top Bottom