Kwa yeyote anayehusika

mwana wa africa

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
548
128
Nawasilisha maombi kwa yeyote mwenye nakala za hotuba ya makadirio ya mapato na matumizi kwa wizara ya nishati na madini kutoka kamati ya nishati na madini na ya msemaji wa kambi ya upinzani kwa wizara ya nishati na madini. Tafadhali, wana jf naomba mwenye kopi aturushie hapa jamvini. Naomba kuwalsha
 
Back
Top Bottom