Kwa yeyote anayeelewa naomba kujua ili kupanda mkonge/katani huwa zipo mbegu zake kama vile mahindi?

moghaka

JF-Expert Member
May 16, 2011
252
143
Wasalaam ! ! !
Niende moja kwa moja kny point

Kwa yeyote anae elewa naomba kujua ili kupanda mkonge/katani huwa zipo mbegu zake kama vile mahindi ? au ni lazima kutumia miche midogo ?

Na kama mbegu zipo zinapatikana wapi ? gharama zake ikoje ?
 
Ni propagated vegetatively
Hazina mbegu kama mahindi

Bali wanatumia suckers and bulbils
Umejibu Vema Na Hakuna Jibu Lolote Zaidi Ya Hili
Yatakayofuata Ni Nyongeza Tu
Hata Mimi Nimeishi Kwenye Hayo Mashamba Ila Sasa Hakuna Cha Kuongeza
 
Hii link ni ya nini..??
Sorry kuna mtu amenipa hiyo link anadai zipo mbegu za mkonge na zinauzwa kutoka CHINA ndipo na mm nikawa na mashaka nikaomba nijiridhishe hapa kama ni kweli au ni nini hicho ?

Sio vinginevyo , je kwa hivi karibuni ulishawahi kusikia chochote ? maana technolgy hubadilika kila kukicha ? ? usichoke mkuu
 
Ok...

Bado sijasikia kuhusu hilo... Na hakuna kitu kama hicho...
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom