kwa yeyote aliyepoteza hiki cheti au anayemjua. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa yeyote aliyepoteza hiki cheti au anayemjua.

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by ndevu mzazi, Jul 16, 2012.

 1. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #1
  Jul 16, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  ni muda mrefu sasa amekisahau stationery yangu.
  piga simu namba:0654969715

  jina lake ni HONORATHA V. SAWERE

  cheti cha POSTGRADUATE IN BUSSINESS ADMINISTRATION

  CHUO IFM
   
 2. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #2
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 3. Bushbaby

  Bushbaby JF-Expert Member

  #3
  Jul 16, 2012
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,547
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  nafikiri ameweka hapa kutoka na watu wengi wanaopitia hapa!!
   
 4. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #4
  Jul 16, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  fungua hii link hapa Honoratha Sawere | LinkedIn
   
 5. ndevu mzazi

  ndevu mzazi JF-Expert Member

  #5
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  una akili sana mungu akubariki we need great thinkers here.
  jukwaa la siasa is the most visited ndo maana nikachukua uamuzi huu,mwambie huyo boya.
   
 6. Nyanya mbichi

  Nyanya mbichi JF-Expert Member

  #6
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 10, 2011
  Messages: 2,447
  Likes Received: 673
  Trophy Points: 280
  ila jamani juwe na utamaduni wa kupitia majukwaa mengine basi

  tusitawaliwe sana na siasa
   
 7. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #7
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Wewe unaona ajabu hili? kuna mtu tena almaaruf humu JF kabandika habari za kupasuka kioo kwenye jukwaa la siasa.

  Huyu afadhali ni kitu muhimu sana.
   
 8. Mlitika

  Mlitika JF-Expert Member

  #8
  Jul 18, 2012
  Joined: Mar 23, 2012
  Messages: 458
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Sidhani kama MUUNGWANA ndevu mzazi alifungua jukwaa la chit-chat hapa!  :A S 465: :A S 465: :A S 465: T H R E A D C L O S E D! :A S 465: :A S 465: :A S 465:
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 9. F

  FUNGO jr JF-Expert Member

  #9
  Jul 18, 2012
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 252
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  asante mkuu ngoja tuingie fb tutafute ubini na ulitangaza jina hilo tutampata hata aliyesoma naye
   
 10. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #10
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nimekusoma bwana Venance Njau
   
 11. Silly

  Silly JF-Expert Member

  #11
  Jul 18, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 486
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 35
  mcheki kwenye fb, run search ya majina yote na jaribu kufanya communication, najua unapenda kumsaidia ndo maana umeweka hapa na najua pia una access ya facebook, ukizingatia ni mteja wako, it pays to be good.
   
 12. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #12
  Jul 18, 2012
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 4,938
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  kwa hakika.......it pays to be good!!!!!
   
 13. MpiganiaUhuru

  MpiganiaUhuru JF-Expert Member

  #13
  Jul 20, 2012
  Joined: Mar 31, 2012
  Messages: 745
  Likes Received: 694
  Trophy Points: 180
  Duh! Unafanana sana na jina lako!
   
 14. Da Pretty

  Da Pretty JF-Expert Member

  #14
  Jul 20, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 3,051
  Likes Received: 62
  Trophy Points: 145
  Sio ustaarabu,
  Unakatisha tamaa
   
 15. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #15
  Jul 20, 2012
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,773
  Likes Received: 181
  Trophy Points: 160
  Nakatisha tamaa kwa nini?? Namuonyesha sehemu anazofanya mapungufu ili aikosee tena!!! Tambua username tumeziweka ili kuficha tunachojadili hapa.....kama amekosea sehemu tunapaswa kumuonyesha haya ni makosa.
  Kwa mfano...kuna mchangiaji mmpja aliwahi kuweka maelezo kwa kuweka picha ya webpage....ambayo akawa na facebuk pake katika browser yake...nikamtaja jina....alitambua na kuiondoa
   
 16. L

  Lakuchumpa Member

  #16
  Jul 27, 2012
  Joined: Mar 28, 2012
  Messages: 73
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hayajawai kukuta. Ndomaana unasema kuna ubao wa matangazo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 17. Donnie Charlie

  Donnie Charlie JF-Expert Member

  #17
  Jul 27, 2012
  Joined: Sep 16, 2009
  Messages: 6,357
  Likes Received: 467
  Trophy Points: 180
  Nimesema jukwaa na sio ubao.. Kwao hawa yalitomkuta ni nani kati ya mleta taarifa na aliyepoteza cheti?
   
 18. K

  KengeWaKijani Senior Member

  #18
  Jul 27, 2012
  Joined: Jun 28, 2012
  Messages: 103
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Haha ha kumbe unamjua ee e ?
   
 19. Vinci

  Vinci JF-Expert Member

  #19
  Jul 30, 2012
  Joined: Jul 6, 2009
  Messages: 2,636
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  ha ha ha....amekupa namba tuu...wewe umehangaikia kujua jina...techolojia imekuwa sana....toa number details zingine zitajileta zenyewe
   
 20. F

  Fighter G Member

  #20
  Aug 14, 2012
  Joined: Oct 8, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  [h=1]waweza kumkuta kumkuta kwa hizo simpo conta
  Honoratha Sawere[/h] accountant at ministry of livestock development and fisheries - Tanzania
   
Loading...