Kwa yeyote aliemuona huyu tafadhari anijulishe

kicheche10

Member
May 5, 2009
9
4
Nimepotelewa na ndugu yangu
Kabira ni mkurya
Rangi ni mweusi kama chungu
Ni mfupi kimo cha mbusi
Hana jinsia yeyote
Jina lake... Nyabhikwabhe Bharangambagamba chengisorichiraheta, mara ya mwisho arifaa Kabhuti nyeusi na surubhare ya ghichani na arikuwa ametokea vingunguti,
Ukimuona pigha simu , subhuri sabha sabha inye, subhuri sbhuri na kuenderea
Sawadi ni ngombe mmocha na mbusi mbiri senye mighuu
Nateghemea ushirikiano wako
Mimi wa Serengeti
 
Nimemwona ametangazwa video ya taifa!:ranger:
 
Back
Top Bottom