Kwa Yatima waliokosa mkopo,nimeileta kama nilivyoikuta group la whatsap

Chukwu emeka

JF-Expert Member
Jan 12, 2018
23,404
36,543
MSAADA ELIMU KWA YATIMA
Kama kuna mtoto yatima anayeasoma Chuo Kikuu chochote Tanzania na amezidiwa na shida ya ada na gharama nyengine za Masomo kiasi cha kulazimika kuacha Masomo, mwambie atume email to: a2foundation@yahoo.com

Atume majina yake na Chuo anachosoma na Shahada anayosomea haraka iwezekanavyo. Tafadhali usambaze ujumbe huu kokote uwezavyo mpaka watoto wote wenye shida hii iwafikie.

Sharing is caring 🙏🏾
 
haya mambo haya ni tatizo... kwanini wasisambaze huko ma vyuoni???
 
wangetembelea vyuoni moja kwa moja mana kuna wengine wanakula mlo m1 kwa siku
 
Matapeli hao!! Mwisho wa siku mtu ataombwa atoe fedha kwa ajili ya fomu za maombi na na gharama ya kuchakata maombi hayo. mwisho wa sikpaka u michango hiyo hiyo wanapewa baadhi ambao ni ndugu za matapeli halafu wengine wanaambiwa maombi yao hayajafanikiwa!
 
Back
Top Bottom