Kwa yanayofanyika CHADEMA ni heri katiba ya nchi ibadilishwe Magufuli atawale mpaka achoke mwenyewe

mkuu unaongea upumbavu chadema ni chama cha watu wachache eti kwa kuwa wamekosea kumtaka tena mbowe basi itumike kama mfano kwa raisi kung'ang'ania pia madaraka (akili zako ni pumbavu'

kuongoza chama si akili, utayari na utashi. katika chama chenye watu wenye akili sana chadema kinaongoza anzia ngazi ya vitongoji hadi taifa
Mkuu kama huoni madhara ya Mbowe kuendelea kung'ang'ania hicho kiti?
 
Kama mnampenda sana Magufuli nanyi mfanyeni awe mwenyekiti wenu wa maisha muone kama tutawaingilia.

Urais wa nchi ni suala la wananchi wote wenye vyama na wasio na vyama, makabila yote, rangi zote na Dini zote. Huko CCM mnaweza kuongea hata kikabila na mkakubaliana na sio kutuletea katika nchi.
 
Napenda mabadiliko ila CHADEMA hakijawahi kuwa role model wangu. Ni kusanyiko tu la wapambania tumbo kama wajasiriamali wengine ndani ya siasa.
 
Ila Chadema (Chama cha Demokrasia na Maendeleo) wanatuona watanzania wote wajinga haiwezekani chama kinachojiita cha demokrasia mwenyekiti hana ukomo wa kuongoza!!!
 
Sioni haja ya kuwa na hofu kama
Uchaguzi utakuwa free and fair.

Kinachowaudhi watu wengi kwa chaguzi za sisiemu ni kwamba wao huchaguliwa watu na kikundi cha watu wachache kwa maslahi yao.

Mara nyingi Sisiemu hawafanyi chaguzi za haki ndani na nje ya chama chao
 
Umesema mengi, unasahau kuwa magufuli ni dikiteita kuliko hata Idd Amin! Unapomlinganisha Mbowe na Idd Amin, you are not realistic, ni chuki zako na Mbowe! Yes anaweza akaw ana mapungufu, lakini si kuomba Magufuli atawale milele! Una chuki binafsi!

Magudfuli anamuandaa Makonda? Hapi? Mnyeti? You must be crazy!
Wewe kibaraka huoni kuwa ni ubakaji wa demokrasia na ni udikteta unaofanywa kwa mgongo wa wakati mgumu.
 
Wewe ina maana hata huko CCM hakuna mtu wa kuongoza hii nchi? Maana Magufuli haongozi bali anatawala, sasa unatuambia CCM nzima ni hivyo? Kweli wewe ni mchumia kinyeo.
 
Umesema mengi, unasahau kuwa magufuli ni dikiteita kuliko hata Idd Amin! Unapomlinganisha Mbowe na Idd Amin, you are not realistic, ni chuki zako na Mbowe! Yes anaweza akaw ana mapungufu, lakini si kuomba Magufuli atawale milele! Una chuki binafsi!

Magudfuli anamuandaa Makonda? Hapi? Mnyeti? You must be crazy!
such a crap comments from a crazy!
 
Wewe, fomu zimeshatolewa nenda kachukue ugombee. Ni haki yako kama ambavyo ni haki kwa Mbowe na haki kwa wanachadema tu kumchagua wanayemtaka.
 
''Mimi nina elements za mageuzi''

''Wapinzani mnamlalamikia magufuli kuhusu katiba na hyo katiba inampa magufuli uwezo wa kuyatenda hayo''

Ulianza kujinadi kuhusu elements

Ila flow yako inaonesha ni kada % wa tawala
Kichwa cha uzi kimebeba shinikizo watu wamuelewe umpendaye
 
Umesema mengi, unasahau kuwa magufuli ni dikiteita kuliko hata Idd Amin! Unapomlinganisha Mbowe na Idd Amin, you are not realistic, ni chuki zako na Mbowe! Yes anaweza akaw ana mapungufu, lakini si kuomba Magufuli atawale milele! Una chuki binafsi!

Magudfuli anamuandaa Makonda? Hapi? Mnyeti? You must be crazy!
You are stupid to the extent that you 'r full of confidence rather than doubts, hujibu hoja mam unaleta Mambo ya hovyo lakn hoja ya mtoa mada ni kwamba msije mkashangaa siku moja CCM kuandamana Magufuli atawale milele,
 
Gbollin,
Wewe nae ni ndina kabisa, hoja ni kwamba je Katiba hiyo ni realistic? Why Mbowe tu? Je siku CCM nao wakioeleka muswaada was kumpa Rais atawale Hadi atakapochoka watakuwa wamekosea? Kwa nini Mbowe awe sahihi ila ikija kwa Magufuli iwe udikteta? Nyie tumieni akili ,what goes around comes around, mkiendelea hivyo na CCM itafanya hivyo na kumbukeni bungeni ni wengi
 
Back
Top Bottom