Kwa yanayoendelea ni dhahiri Siasa imekomaa

Rushago

Member
Jul 21, 2020
27
19
Wadau Shalom.

Ukiangalia michakato ya teuzi mbalimbali ndani ya vyama vya siasa kuelekea uchaguzi mkuu ni dhahiri utaelewa hakika katika nchi yetu Siasa IMEKOMAA.

Nasema Siasa imekomaa kwasababu kuu tatu:
1. Waliodhani vyama vya siasa ni majina siyo watu wameambulia patupu

2. Waliodhani kuhama vyama ni rutuba ya kisiasa wameambulia patupu

3. Waliodhani kwamba majina yao yatawabeba watapendwa na wajumbe na kuchaguliwa wawe wagombea wameambulia patupu.

HAKIKA TANZANIA YA SASA SIYO YAJANA
 
Back
Top Bottom