Granted Faith
Member
- Jul 4, 2021
- 57
- 292
Kwa Yanayoendelea Kwa sasa Sioni kama kuna umuhimu wowote kumpigia kura mbunge ambaye hana Msaada wowote kwa wananchi wake zaidi ya kuangalia maslai Yao na matumbo yao.
Wabunge hawana Msaada wowote Kwa Wananchi zaidi ya blabla za hapa na pale zisizo na Tija yeyote kwa wananchi
Wabunge wamekuwa watu wakujali Maslai yao binafsi kuliko wananchi waliompigia Kura na kumpa dhamana ya kuwa hapo halipo
Wabunge Wamefanya Siasa ni Ajira wakati Siasa ni Wito wa kuwatumikia Wananchi waliompa dhamana ya kuwa hapo